Uchaguzi 2020 Hotuba ya Tundu Lissu kutangaza nia ya kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Juni 08, 2020

Wana CCM wenzangu, hakika leo nimemuelewa Mwenyekiti wetu kwa nini hasa aliamuru huyu Mheshimiwa Lissu ACHAPWE MVUA YA RISASI ZILE. Huyu Tundu Lissu ni kichwa hasa, anazifahamu vyema changamoto za nchi hii na watu wake.
Hakika huyu ni MPANGO WA MUNGU.
 
Lissu atarudi hapa nchini na hakuna mbwa yyte atathubutu kumgusa...hao wanaosema akija aijui watafanya nn , wakithubutu tu nchi hii kutafanyika mapinduzi mchana kweupe wasiishi kwa mazoea...oohoo
 
Kashapitishwa na Chama au kajiamulia mwenyewe
 
Hakuna unafiki mbaya kama wakujifanyia mwenyewe... Kwa hiyo mnaamini huyo mdiaspora atakuwa Rais wa Tanzania???


Watu... Mnajua kujipotezea muda aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
.

Jr[emoji769]
 
Inatuongezea hali na umoja kama watanzania kupambana na majanga tukiwa na kiongozi wetu mkuu akiwa mstali wa mbele kwenye mapambano
Asante mkuu, Je Kwa waliokumbia Bunge, pia hili linawahusu
 
Hotuba imemuumbua sana...! Bado Lissu anafikira za kiharakati. Uharakati haulipi katika masuala mazito yanayohusu nchi.

Masuala mazito yanayohusu nchi yanahitaji, Mipango, Mbinu bora kabisa ya kutekeleza mipango hiyo kwa weledi wa hali ya juu, bila kuwasahau mikakati mizito ya kulinda matokeo chanya yaliyotokana na utekelezaji wa mipango husika.

Kuonyesha, Lissu kaabika yeye na wale wanaomshabikia katika harakati zake za kutimiza ndoto zake binafsi, ni namna alivyoelezea suala la uchumi. Kwa yeyote anayejielewa, anaweza kukubaliana na mimi kuwa Lissu kushindwa kujadili suala la Uchumi kwa kutumia takwimu. Lissu (ambaye amepona sasa, na Mshukuru Mungu kwa hili ambalo nililiombea ili aje aone jinsi Tanzania inavyipiga hatua kiuchumi na kijamii), ameshindwa kuonyesha udhaifu wa kiuchumi wa nchi yetu anaoufikiria yeye na pia kashindwa kuonyesha kwa namna gani ataboresha uchumi huo wake wa kufikirika kwa kutumia takwimu.

Kwa kipengere hicho tu nasema Lissu amewaabisha mashabiki wake, yeye na chama anachowaza kukitumia kutimiza matakwa yake binafsi.

Yangu ni hayo.
 
Maneno kama haya ni haki yake kutoka kwa muumini wa utawala ulipo madarakani maana ni haki yenu
 
Kama Kura zinapigwa / zitapigwa tu humu Mitandaoni kwa hii Dhamira ya Tundu Lissu basi ameshakuwa Rais, ila tatizo zinapigwa kivingine kabisa.
 
Akumbuke wasiojulikana wako stand-by, wanamsubiri arudi nchini ili safari hii wamkate ulimi ili asiongee kabisa.

Waje wathubutu...!!Kama Magufuli hajajifunza kwanini watu wake, a.k.a WASIOJULIKANA walishindwa kumuua Mhe. Tundu Lissu atakuwa mtu wa ajabu! Rais Magufuli lazima ajue kuna Mungu ambaye aliwaagiza Watanzania waombe kwa ajili ya Covid-19!

Kama Magufuli anaamini maombi ya Watanzania yameiponya Tanzania na Covid-19 Basi ni Mungu huyuhuyu aliyemwokoa na kumponya Tundu Lissu.

Jaribio lolote la kutaka KUSITISHA Uhai wa Lissu itakuwa ni kumtukana Mungu na hakuna mtu amewahi kumtukana, kumdharau au kumdhihaki Mungu akabaki salama. Kitakachompata Rais Magufuli kwa jaribio lingine lolote atajuta...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…