Pole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuu
Kwa hiyo kama wanawake wawili wamekushinda ndo uamue kuoa mke wa tatu? Si unarudi kuwa na mmoja tu au kutokuwa na mke kabisa?
Hahahahahahaaaa! Usijali mkuu! Warioba meno hana na kabla ya kuingia pale, ameshakata kucha zake!
Mkuu warioba hana tishio lolote ni mwenyekiti wa tume ambayo tena ilishamaliza kazi yake kwa nini apewe ulinzi.Kama ni hivyo sawa ila kwa mwenendo wa mambo yalivyo sasa anahitaji ulinzi huru na shirikishi, tuendelee na hotuba kaka huku tutarudi badae.
Upi ni relevancy?Mfano uliotoa ni irrelevancy to the fact in issue!
Mkuu warioba hana tishio lolote ni mwenyekiti wa tume ambayo tena ilishamaliza kazi yake kwa nini apewe ulinzi.
Kuoa sio Kero bhana,Ardhi ni Kero,ukiwa Zanzibar unaonekana wa Nchi nyingine,ila wao huku poa tuPole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuu
Kuna kitu kinaniambia muundo wa serikali tatu ukipita kuna vitu vitasababisha argument kwa waumini wake.
Azimio la arusha halina tatizo wewe ndiye unalijofia sijui kwa mantiki gani.
Asa kwa mtindo uu wanataka waje wapige tena kura za nn?
Acha Ujinga wewe mmezoea kubishana na ukweli kama unamsikiliza Walioba hilo si swali la kuuliza........sasa kimebaki kwenu kumuita walioba Muongo.................na Tutawasikia.Kwamfano?