Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Pole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuu

La ardhi nalo nmeliskia leo.Sasa 2nang'ang'ania nini Zanzibar.
 
Kama ni hivyo sawa ila kwa mwenendo wa mambo yalivyo sasa anahitaji ulinzi huru na shirikishi, tuendelee na hotuba kaka huku tutarudi badae.
Mkuu warioba hana tishio lolote ni mwenyekiti wa tume ambayo tena ilishamaliza kazi yake kwa nini apewe ulinzi.
 
Kama ni hivyo sawa ila kwa mwenendo wa mambo yalivyo sasa anahitaji ulinzi huru na shirikishi, tuendelee na hotuba kaka huku tutarudi badae.
Pamoja sana mkuu maana hilo la ulinzi huru na shirikishi tutawachanganya wadau
 
Kweli nimeamini, Jaji warioba hakupewa u-Jaji kwa bahati mbaya. Huyu Mzee ni hazina ya Taifa. Damu ya Yesu ikufunike na wote wenye nia mbaya na wewe. BRAVO JUGDE wa ukweli!!!!!!!
 
Pole sana Mkuu. Yapo mengi sana mengine ambayo warioba hajaeleza. Hivi unajua kuwa wewe wa Tanzania bara kuoa mke mpemba inakuwa ishu? Hivi unajua kuwa wewe mtanganyika huwezi kupata kipande cha ardhi kulemZanzibar? Zipo nyingi mkuu
Kuoa sio Kero bhana,Ardhi ni Kero,ukiwa Zanzibar unaonekana wa Nchi nyingine,ila wao huku poa tu
 
Kwamfano?
Acha Ujinga wewe mmezoea kubishana na ukweli kama unamsikiliza Walioba hilo si swali la kuuliza........sasa kimebaki kwenu kumuita walioba Muongo.................na Tutawasikia.
 
Back
Top Bottom