Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
apewe ulinzi kwa kusema ukweli ulio kinyume na watu wengi.
Hiyo unayopendekeza italeta watu kuuana sana. Mtu akijua yeye ameshika nafasi ya pili, kumuua aliyeshika nafasi ya kwanza inakuwa ni mojawapo ya options za yeye kujitwalia ubunge. Au unalionaje hilo?Bora ingekuwa, mbunge akifariki aliyeshika nafasi ya pili anapanda pale juu, coz angalau wananchi walimsikiliza wakati wa kampeni, sasa hii ya chama kuteua mtu napata shida kidogo
Punguza kuwa LaggarzMkuu warioba hana tishio lolote ni mwenyekiti wa tume ambayo tena ilishamaliza kazi yake kwa nini apewe ulinzi.
Hizi nondo hata mwalimu nyerere angekubali muungano huu feki ufe.
Kwa mara ya kwanza naunga mkono kura ya siri.
Kwani hawa wanzanzibari wataturudishia nchi yetu kwani hata wa ccm watapigia kura serikali 3!!
Mkuu warioba hana tishio lolote ni mwenyekiti wa tume ambayo tena ilishamaliza kazi yake kwa nini apewe ulinzi.
Kinachotaka serekali 2 ni chama cha mapinduzi na wale wote ambao maisha yao yote wamewekeza ndani ya CCM lakini wtz wengi wanataka serekali 3 ambazo zitaifanya Tanganyika irudi.Ikishindikana pawepo na serekali moja yenye nchi moja ya Tz.
Kwanini umemuuliza hiviKwani Warioba ni baba yako?
Upi ni relevancy?
Nashauri wananchi rupige kwanzq kura ya kuamua quna ya muungqno tuupendao. Naona warioba anaanza kutuchangamya