Kwa mahakama zetu hizi ..ambazo hata mwanasheria wa serikali..alishindwa na magaidi waliochoma kanisa hadharani?Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.
Absalom Kibanda
mi sijaelewa kabisa mantiki yako
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
JK alisema ........ mnaotaka serikali 3, mtushawishi kwa hoja.... haya tuone sasa...Mkuu, leo ndo kibarua chake kinaota nyasi
Akiwasilisha rasimu ya pili ya katiba bungeni na huku akishangiliwa kwa nguvu na wajumbe , Jaji Warioba amewajibu wale wote waliokuwa na hoja hafifu za kwamba Mwl Nyerere alitaka serikali mbili kwamba wakati huo kulikuwa na nchi moja yenye serikali mbili. Amesema baada ya marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010 yakaitambua Zanzibar kama nchi basi hakuna tena uharali wa serikali mbili. "Huwezi kuwa na muungano wa nchi mbili na serikali mbili aidha utakubali iwe moja au tatu".
Aliendelea kufafanua "haiwezekani mfano kusema mafuta na gesi ya Zanzibar yatabaki kuwa Zanzibar na mafuta na gesi ya bara yawe ya serikali ya Muungano......." Aliongeza "haiwezekani upande mmoja uwe na hadhi na mamlaka kamili na upande mwingine usiwe na mamlaka na hadhi kamili!
Tafakari!
Sasa hakuna tena Ubishi kuwa ,sasa kila mtu anawaelewa hawa jamaa kuwa ni watu w akucheza na mistrari..hawali kwao wala kwa mtu.Kabla watu hawakuwajua sana .Na wengi walianza wachukia na kuwakejeli kuwa wana maawazo mgando, wana chuki binafsi.Sasa walioelewa wameelewa walio,chukia wapo busy tunga uongo mwingine wa kuendeleza mjadala.By now mashujaa waliopo na wanaoshikilia muungano ni hawa wawili...TUNDU LISSU NA WARIOBA KM KIONGOZI WA TUME
Kwi kwi kwi teh teh teh!! Kwa hiyo! Baada ya kujamba, ikawaje?
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
Kwi kwi kwi teh teh teh!! Kwa hiyo! Baada ya kujamba, ikawaje?
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
CCM ni Msalani na Msalani ni CCM? Au....?Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.