Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.
Kwa mahakama zetu hizi ..ambazo hata mwanasheria wa serikali..alishindwa na magaidi waliochoma kanisa hadharani?
 
Suala ya serikali 1/2/3/4 ni Wimbo wa Viongozi ambayo Wananchi waimbiwa na kucheza bila kujua!!!!
 
Warioba ni mtu makini nakubaliana nae kwenye huu mchakato wa Katiba yetu.

Natumia kijisimu, pokea like japo ya analogy!
Tuwe wamoja kwenye masuala ya msingi na ikumbukwe kuwa sisi ni vijana leo ila katiba hii tunayoitengeneza tutashare na wajukuu zetu keshokutwa. Tulionalo jema leo na likafaa kuingizwa kwenye katiba tusilipuuze kwa mihemko ya kichama!
 
Ili tuendelee, tunahitaji
1. watu
2. siasa safi na
3. uongozi bora
Hivi ndivyo tulivyofundishwa enzi zile, pengine we mwenzetu umeona mengine na hivyo unawahamasisha vijana wafunguke basi tuorodheshee hayo na tupe ideology yako....
 
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.

Eti mkuu Msando ni kada na mwanachama wa chama gani?

Unaweza kunijibu tu hata kabla hujamaliza kuharisha nitakuelewa mkuu.
 
Akiwasilisha rasimu ya pili ya katiba bungeni na huku akishangiliwa kwa nguvu na wajumbe , Jaji Warioba amewajibu wale wote waliokuwa na hoja hafifu za kwamba Mwl Nyerere alitaka serikali mbili kwamba wakati huo kulikuwa na nchi moja yenye serikali mbili. Amesema baada ya marekebisho ya katiba ya Zanzibar ya mwaka 2010 yakaitambua Zanzibar kama nchi basi hakuna tena uharali wa serikali mbili. "Huwezi kuwa na muungano wa nchi mbili na serikali mbili aidha utakubali iwe moja au tatu".

Aliendelea kufafanua "haiwezekani mfano kusema mafuta na gesi ya Zanzibar yatabaki kuwa Zanzibar na mafuta na gesi ya bara yawe ya serikali ya Muungano......." Aliongeza "haiwezekani upande mmoja uwe na hadhi na mamlaka kamili na upande mwingine usiwe na mamlaka na hadhi kamili!

Tafakari!

kuna post niliandika hapa kuwa watu wanaompinga huyu mzee hawana facts,yeye anakuja na facts mwiba kwa mzee Oole Msendeka,,,,,warioba amewajibu kwa facts kama watakataa waje na facts,hakuna 7bu ya kumsingizia nyerere
 
Sasa hakuna tena Ubishi kuwa ,sasa kila mtu anawaelewa hawa jamaa kuwa ni watu w akucheza na mistrari..hawali kwao wala kwa mtu.Kabla watu hawakuwajua sana .Na wengi walianza wachukia na kuwakejeli kuwa wana maawazo mgando, wana chuki binafsi.Sasa walioelewa wameelewa walio,chukia wapo busy tunga uongo mwingine wa kuendeleza mjadala.By now mashujaa waliopo na wanaoshikilia muungano ni hawa wawili...TUNDU LISSU NA WARIOBA KM KIONGOZI WA TUME

Kaz kwao
 
Watu wanakosea kuleta ushabiki wa vyama vya siasa kwenye mambo ya msingi ya taifa letu.

Ushabiki wa vyama umetufikisha pabaya sana umetuondolea mpaka uzalendo wetu kwa taifa letu.

Hii katiba siyo ya CCM, CUF, NCCR Mageuzi wala vyama vingine vya siasa ni katiba ya taifa letu.
 
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.

ulitarjia ashinde hata ktka mapunguf ya wazi kama Yale?.....duh.....kweli chuki humpofusha MTU. tuache porojo kwenye ukweli tuuone hata kama alieusema ni Adui kwako.
 
hakuna shaka na hoja za serikali 3 mhe. warioba kafafanua zaidi
 
Wachote mawazo hao hao, Juzi tu kapigwa chini na kijana mdogo lakini mahiri, ALBERT MSANDO.

unazungumzia ile kesi ya TANZANIA dhidi ya CHADEMA ? Hata wakili wa zitto angekuwa MSALANI ni lazima angeshinda ! HUYO ALBERT kasimamia kesi ngapi tangu alipozaliwa mpaka leo ? FUNGUA KICHWA MJOMBA .
 
Lissu ni mwanasheria mahiri sana. Namkubali sana, ana uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja, ni objective and very open-minded.
 
Back
Top Bottom