Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi nipo pamoja na rais wangu pamoja na Warioba na watanzania, hayo unayoandika mimi hayanihusu, mimi naangalia taifa langu, sishikiwi akili na chama cha siasa au mtu yeyote.
Warioba alizidi nifurahisha alipowaambia maCCM kuwa ..sheria iliiwekea mipango TUME ILA HAKUNA ILIPOWAWEKEA WANANCHI MIPAKA NA HIVYO wakatafsiri kuwa wananchi walitakiwa waseme kila kitu kwa uhuru na hawakuwa na mamlaka ya kuwazuia. Hii ilikuwa mwima kwa maCCM waliopiga debe ktk vipindi vya dkk 45 na vingine kuwa tume iliweka maawzo yao wenyewe...JK atajilaumu sana kuwa hakuona hilo...tunaojua fikra za CCM n akukumbuka walichosema kwa fahari hata waliposhtuliwa kuwa wamepotoka..tulikuwa tunayaona maumivu makali sana kwa werema, na maccm yote.
Hatari sanaBaada ya wasilisho la Mzee Warioba leo bungeni, Nimejua ni namna gani nchi hii imebarikiwa kwa kuwa na wasomi wachache wenye uzalendo na wanao jua kusimamia ukweli wa wanayo yaamini, Kwa hoja makini zenye maswali na majibu aliyotoa mzee huyu, nashindwa kuelewa JK anaenda kuongea nini kinyume na hoja makini zenye uchambuzi mujarabu kiasi kile.
Shikamoo Mzee Warioba, Nimejifunza kitu kipya kwako leo.
Warioba bhana, Pinda ni waziri mkuu wa muungano but hajawahi kwenda zanzibar kukagua mambo ya kimaendeleo vile vile kwa Jakaya, Pinda anachomoa macho tu.. warioba noma sana
Wako wengi tu hao. Wao kila hojanilazima waje naitikadi za vyama, ccm na wengine za ki cdm. Tuna soma hoja abazo hazina itikadi za vyama. Zinazo husu vyama vyenu wengine hatusomi tuna pitatu. Ss isiyo ya cvyama vyenu mnatiletea kero za nn?. Tunawaomba mnojiita ufipa v/s lumumba mtuonee huruma hata cc 2nahitaji ku enjoy jf.Msalani siyo lazima uchangie kila thread. "Solid Food for Matured People Only, not for Babies". Unafahamu umafia wa Mahakama zetu? Sometimes zinaendeshwa kama "Kangaroo Courts" kwenye "Banana Republics"
JK atakacha majungu kesho kutwa km alivyowatosa CCM ktk maoni ya CDM ..CCM walikuja juu sana CDM walipoingia Ikulu na k umwacha JK akiwa na mawazo yao..CCM wakaishia kudai kuwa CDM wali enjoy juice ya ikulu...eti waliona wivu
Nilikuwa naona Serikali tatu ni mzigo lkn kwa maelezo ya warioba Tanganyika na irudi kwa Jina la Baba na Mwana na Roho mtakatifu. Amen.
Hatari sana
hawa wazee wanatupeleka kusiko na wanataka kutuacha vibaya mi nahuhakika Kingunge kawa kiongozi mama Zetu kwa sisi watu wa miaka ya tisini ndo wanazaliwa sisi tunakua bado yupo upo chuo bado yupo sasa hii ndo nini katiba mpya ifikirie swala la kuachiana ajira miaka 45 acha waingie wengine wewe ushapata mtaji kafanye biashara achia vijana na wao wapate mtaji akifika 45 anaachia wanaingia wengine sasa wewe miaka 55 bado umo tu miaka 85 bado umo tu daaah acheni hizo bhana
Nasubiri tu hiyo ijumaa hakika, Mungu nipe uhai tu ili nione live kiongozi wetu wa nchi atasema nini na watanzania. Ajue tu kuwa haongei na wanaccm bali anaongea na watanzania. Asituletee uchama.