Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Pongezi Jaji Warioba hakika umetoa dukuduku la watanzania kwa ufafanuzi makini wa rasimu ya katiba hatimaye tuwe na katiba bora
 
Mimi nipo pamoja na rais wangu pamoja na Warioba na watanzania, hayo unayoandika mimi hayanihusu, mimi naangalia taifa langu, sishikiwi akili na chama cha siasa au mtu yeyote.

Asante kaka! unasemaje kuhusu wale waliomtukana Warioba kuwa ni mzee anayesubiria kufa?
 
Kurudi lazima irudi!! Na hicho ndicho kinachoitajika...unajuwa kukiwa na serikali tatu usimamizi wa rasilimali utakuwa wa karibu sana kwa Tanganyika na Zanzibar sasa kuna viwavi jeshi wanaojidai wanajuwa kula sana watakosa kula kama walivyozowea ndiyo maana wanaiogopa/ wanapinga sana hili swala la serikali tatu.
 
Warioba alizidi nifurahisha alipowaambia maCCM kuwa ..sheria iliiwekea mipango TUME ILA HAKUNA ILIPOWAWEKEA WANANCHI MIPAKA NA HIVYO wakatafsiri kuwa wananchi walitakiwa waseme kila kitu kwa uhuru na hawakuwa na mamlaka ya kuwazuia. Hii ilikuwa mwima kwa maCCM waliopiga debe ktk vipindi vya dkk 45 na vingine kuwa tume iliweka maawzo yao wenyewe...JK atajilaumu sana kuwa hakuona hilo...tunaojua fikra za CCM n akukumbuka walichosema kwa fahari hata waliposhtuliwa kuwa wamepotoka..tulikuwa tunayaona maumivu makali sana kwa werema, na maccm yote.

Kabisa mkuu, kasema hayo na kwa,hakika amekonga nyoyo za makundi mengi leo! Serikali3 haziepukiki!
 
Baada ya wasilisho la Mzee Warioba leo bungeni, Nimejua ni namna gani nchi hii imebarikiwa kwa kuwa na wasomi wachache wenye uzalendo na wanao jua kusimamia ukweli wa wanayo yaamini, Kwa hoja makini zenye maswali na majibu aliyotoa mzee huyu, nashindwa kuelewa JK anaenda kuongea nini kinyume na hoja makini zenye uchambuzi mujarabu kiasi kile.

Shikamoo Mzee Warioba, Nimejifunza kitu kipya kwako leo.
Hatari sana
 
Msalani siyo lazima uchangie kila thread. "Solid Food for Matured People Only, not for Babies". Unafahamu umafia wa Mahakama zetu? Sometimes zinaendeshwa kama "Kangaroo Courts" kwenye "Banana Republics"
Wako wengi tu hao. Wao kila hojanilazima waje naitikadi za vyama, ccm na wengine za ki cdm. Tuna soma hoja abazo hazina itikadi za vyama. Zinazo husu vyama vyenu wengine hatusomi tuna pitatu. Ss isiyo ya cvyama vyenu mnatiletea kero za nn?. Tunawaomba mnojiita ufipa v/s lumumba mtuonee huruma hata cc 2nahitaji ku enjoy jf.
 
hawa wazee wanatupeleka kusiko na wanataka kutuacha vibaya mi nahuhakika Kingunge kawa kiongozi mama Zetu kwa sisi watu wa miaka ya tisini ndo wanazaliwa sisi tunakua bado yupo upo chuo bado yupo sasa hii ndo nini katiba mpya ifikirie swala la kuachiana ajira miaka 45 acha waingie wengine wewe ushapata mtaji kafanye biashara achia vijana na wao wapate mtaji akifika 45 anaachia wanaingia wengine sasa wewe miaka 55 bado umo tu miaka 85 bado umo tu daaah acheni hizo bhana
 
JK atakacha majungu kesho kutwa km alivyowatosa CCM ktk maoni ya CDM ..CCM walikuja juu sana CDM walipoingia Ikulu na k umwacha JK akiwa na mawazo yao..CCM wakaishia kudai kuwa CDM wali enjoy juice ya ikulu...eti waliona wivu

By the way, huyu Mzee Warioba (salute) bado yupo ngangari sana aisee. Da, saa nne anahutubia akiwa amesimama bila hata kupepesuka! (najua alipumzika km dakika tano hivi lakini hilo haliondoi ukweli kwamba huyu Mze wetu (mungu ambariki sana) bado ana nguvu sana kulinganisha na wengine hata walio na umri chini yake.


Angekuwa ------, angeshaaanguka mara tatu kama Yesu (samahani kumtaja Yesu hapa).
Big UP Bro Warioba!
 
Hatari sana

Hata wale wapotoshaji wanaojiita wasomi hawamfikii kwa ueledi na UKWELI. Siku zote nasema ni bora uwe mkweli na kuheshim taaluma yako, na si ushabiki! Unakuta mtu kabisa ni mwanataaluma wa sheria anajiita msomi halafu kwa makusudi anapotosha. Niliwahi kuandika humu kuwa katika kipindi cha Je Tutafika waalikwa wawili prof mmoja na Mzee Mkinga ambae nilikuwa namwamin sana ila kwa ushabiki alikuwa ANAPOTOSHA tena kwa MAKUSUDI, ndipo mzee HANS KITIME kasema kiukweli Zanzibar wanataka nchi huru yao, kwamba mutazunguka weee lakini mwisho wa siku Zanzibar kwenye hilo hawadanganyiki! Na kwa sasa Watanganyika nao hawana namna nao wanaitaka Tanganyika yao!
 
yaani mm ninavyolialia kuwa serikali tatu bora tanganyika ije bhana
 
Hakika leo nimeona wazenzibari wakishangilia kwa nguvu sana na kucheka mpaka gego la mwisho. Jipu limepasuliwa na mwanaume!!! Hatafuni maneno, amesema waliosema wananchi, amenukuu tume mbalimbali hata na ile G55. Ila kama alimsahau mzee wetu Kipenzi Aboud Jumbe anayetumikia kifungo cha ndani Kigamboni!!! Aligusa tu akawekewa zuio ndani!!! Unyama huu!!! sasa kuanzia leo Mzee Jumbe awe huru kabisa.
 
Lissu and Warioba are my role models. Yaani wanatumia taaluma yao kusema ukweli daima. Leo hii hakika sijui kama kuna any dilution ya hii issue ya Muungano as was presented today with evidence. Ijumaa msija mkachafua hali ya hewa na vibagizo vyenu na mipasho. Hayo ni mawazo ya wananchi na secondary data from past commissions and reports!!! Piga msumari, ua kabisa.
 
kati ya hotuba zenye akili nilizowahi kusikiliza tangu nizaliwe ni hii ya warioba leo. hakika nimefurahi, haina unafiki. kitu pekee ninachojiuliza ni je? tutengeneze katiba ambayo chama fulani ndicho kilicholazimisha mambo yake yaingie (mfano juu ya muungano na serikali mbili..) au tuwe wakweli tuungane kuunda kitu kinachokubalika na kila mwenye akili, ili tusije kutengeneza katiba mwaka huu tukakaa miaka miwili tukataka kutengeneza nyingine baada ya wananchi kuikataa, hizo hela sijui tutapata wapi.
 
hawa wazee wanatupeleka kusiko na wanataka kutuacha vibaya mi nahuhakika Kingunge kawa kiongozi mama Zetu kwa sisi watu wa miaka ya tisini ndo wanazaliwa sisi tunakua bado yupo upo chuo bado yupo sasa hii ndo nini katiba mpya ifikirie swala la kuachiana ajira miaka 45 acha waingie wengine wewe ushapata mtaji kafanye biashara achia vijana na wao wapate mtaji akifika 45 anaachia wanaingia wengine sasa wewe miaka 55 bado umo tu miaka 85 bado umo tu daaah acheni hizo bhana

we ndo huoni umuhimu wa wazee kuwa ni hazna kwa taifa unadharau wazee kwa sababu kasema serikali tatu na anataka katiba ya wananchi na sio ya kikundi cha wachache wanaotaka kujinufaisha
 
Nasubiri tu hiyo ijumaa hakika, Mungu nipe uhai tu ili nione live kiongozi wetu wa nchi atasema nini na watanzania. Ajue tu kuwa haongei na wanaccm bali anaongea na watanzania. Asituletee uchama.

sijui atasema tumechoka kusikia serikal tatu ye anataka mbil
ila wish kusikia jipya atakalolitoa ijumaa
 
Mliokua na video ya hii hotuba tuwekeeni YouTube.
 
Back
Top Bottom