Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Radio za bongo zote zinacheza ndomboro kweli watanzania tumelogwa mambo ya msingi tunayafanya ya ziada na ya ziada tunayafanya ya msingi

hovyo sana nyimbo zenyewe zinazowekwa ni mapenzi wanavyokata viono mpaka uanalazimika kuzima tu TV watoto wasione uchafu.
 
Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili
Mkuu, ongea taratibu
 
hili la mbunge akifariki, chama kitapataje mtu aliye chaguo la wananchi
 
 
Wadau, warioba ameomba poo maana kahutubia dakika 85 tu amechoka. Sasa yale masaa matano sijui walikuwa wanaomba akina nani
 
Duh, kaomba poo


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili

serikali mbili ipi na ipi labda, tuweke bayana basi!
 
Wabunge wengi wametoka nje na warioba ameridi kuendelea na hotuba yake baada ya mapumziko ya dakika tatu
 

Chabruma nmekupata, asante kwa ufafanuzi chanya!
 
Hivi Chabruma mbona hutuambii warioba kaenda wap?
 
Last edited by a moderator:
Hivi Chabruma mbona hutuambii warioba kaenda wap?
Mkuu, alikuwa nyima ya kiti cha Mwenyekiti ambako kuna Washroom. Nadhani alienda kupubguza maji au alienda kutafakari jinsi ya juu ya Muundo wa Muungano
 
Warioba:mwenyekiti naomba kuvuta pumzi kidogo fasta kawahi chooni
 
Mama Samia anaongoza kikao sasa.

Mzee Warioba anaendlea.

Wabunge wengine ndio kwanza wanaenda nje!

Suala nyeti zaidi ya hizi tulizonazo la Muungano linachua nafasi sasa.

Bro.Zitto anaupdates Twitter.

Maelezo ya kutosha kuhusu 3 govt,Yanatolewa.
 
Mkuu tupe updates, warioba kaenda wap? Nipo magomeni hapa kijiweni tunafuatilia..kuna teja kasema jaji kaenda kukata gogo eti..c.c Simiyu Yetu tupe updates
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu mzee mgongo ulichoka siunajua tena umri alikuwa back ofisi akijinyoosha kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…