Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Radio za bongo zote zinacheza ndomboro kweli watanzania tumelogwa mambo ya msingi tunayafanya ya ziada na ya ziada tunayafanya ya msingi

hovyo sana nyimbo zenyewe zinazowekwa ni mapenzi wanavyokata viono mpaka uanalazimika kuzima tu TV watoto wasione uchafu.
 
Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili
Mkuu, ongea taratibu
 
hili la mbunge akifariki, chama kitapataje mtu aliye chaguo la wananchi
 
Halmashaur ya Manispaa ya Kinondon imefuta mashamba yote yaliyopo wilaya ya Kinondon,including Ya Bunju ambayo yatagaiwa as viwanja,sasa tutaheshimiana mjini tu,wataenda kwenye field zao za zaman,kama kuchunga mbuz,[/QUOTE]

hahahahahahahaha umenilimaliza hapo kwikwikwi kuchunga mbuzi.
 
Wadau, warioba ameomba poo maana kahutubia dakika 85 tu amechoka. Sasa yale masaa matano sijui walikuwa wanaomba akina nani
 
Duh, kaomba poo


Sent from my iPad using JamiiForums mobile app
 
Hii rasimu mpaka alipofikia ni nzuri sana, aliponiboa ni serikali tatu.. Nashangaa serikali tatu, hiyo nchi ya tatu ni ipi? Mimi nataka serikali mbili

serikali mbili ipi na ipi labda, tuweke bayana basi!
 
Wabunge wengi wametoka nje na warioba ameridi kuendelea na hotuba yake baada ya mapumziko ya dakika tatu
 

Mkuu, jana kulikuwa na hoja mbili

  1. Wabunge walikuwa wanapinga kitendo cha Warioba kuwasilisha Rasimu ya Katiba kabla mwenyekiti hajazindua bunge
  2. wabunge wa upinzani walikuwa wanapinga kitendo cha Warioba kupewa masaa mawili tu kuwasilisha hotuba yake. Wao walikuwa wanataka apewe masaa 4 hadi 5
Baada ya vurugu za jana, Kamati ya Mashauriano iliketi na walikubaliana mambo yafuatayo
  • Warioba ataanza kuwasilisha Rasimu Kama ilivyopangwa na baadaye Rais atakuja kulizindua bunge siku ya Ijumaa. Hivyo kwenye point namba moja hakuna mabadiliko kati ya jana na leo
  • kuhusu suala la muda, ni kwamba Warioba amepewa muda wa kutosha leo. Kwamba kuanzia saa tatu na nusu alipoanza kuhutubia, atawasilisha hadi mlize. Kwamba atawasilisha kuanzia saa tatu hadi saa saba, kama itakuwa hajamaliza, kanuni zitatenguliwa ili kuongeza muda hadi amalize kuwasilisha. Hivyo katika point namba mbili, unaona kuna mabadiliko. Kwamba badala ya masaa mawili, Warioba amepewa muda usio na kikomo

Chabruma nmekupata, asante kwa ufafanuzi chanya!
 
Warioba:mwenyekiti naomba kuvuta pumzi kidogo fasta kawahi chooni
 
Mama Samia anaongoza kikao sasa.

Mzee Warioba anaendlea.

Wabunge wengine ndio kwanza wanaenda nje!

Suala nyeti zaidi ya hizi tulizonazo la Muungano linachua nafasi sasa.

Bro.Zitto anaupdates Twitter.

Maelezo ya kutosha kuhusu 3 govt,Yanatolewa.
 
Mkuu tupe updates, warioba kaenda wap? Nipo magomeni hapa kijiweni tunafuatilia..kuna teja kasema jaji kaenda kukata gogo eti..c.c Simiyu Yetu tupe updates
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu mzee mgongo ulichoka siunajua tena umri alikuwa back ofisi akijinyoosha kidogo.
 
Back
Top Bottom