Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Haki za wanawake zinawekwa kwenye katiba?

Wanaume hatuna haki za kuwekwa kwenye katiba?

Haki za walemavu pia ndani ya katiba.

Mtu ana haki ya kumiliki mali na asinyang'anywe bila kupewa fidia stahiki.

Uraia ni mmoja tu,tena wa JMT

uraia wa Tanganyika lini???
 
Mkuu, alikuwa nyima ya kiti cha Mwenyekiti ambako kuna Washroom. Nadhani alienda kupubguza maji au alienda kutafakari jinsi ya juu ya Muundo wa Muungano

Kazi ya warioba ni nzuri ila kanikasirisha kuhusu serikali tatu.. Yaani nataman hata serikali moja. Ila kwa asilimia tisini nampongeza
 
Mama Samia anaongoza kikao sasa.

Mzee Warioba anaendlea.

Wabunge wengine ndio kwanza wanaenda nje!

Suala nyeti zaidi ya hizi tulizonazo la Muungano linachua nafasi sasa.

Bro.Zitto anaupdates Twitter.

Maelezo ya kutosha kuhusu 3 govt,Yanatolewa.
Pamoja sana mkuu
 
Haki za wanawake zinawekwa kwenye katiba?

Wanaume hatuna haki za kuwekwa kwenye katiba?

Haki za walemavu pia ndani ya katiba.

Mtu ana haki ya kumiliki mali na asinyang'anywe bila kupewa fidia stahiki.

Uraia ni mmoja tu,tena wa JMT

uraia wa Tanganyika lini???hapo kwenye haki za wanawake wanamangamanga tu,haki za binadam zishazungumzwa kwenye vitabu vya dini
 
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Mkuu mzee mgongo ulichoka siunajua tena umri alikuwa back ofisi akijinyoosha kidogo.

Mkuu Simiyu Yetu sijapata nafasi ya kukupongeza kw kuteuliwa kuwa mjimbe wa bunge la katiba, mimi jina langu rais alilitosa. Ila nimefurahi wewe upo ndani, nautambua uwezo wako.
 
Last edited by a moderator:
Sitta anataka kutuletea mambo ya kijinga huyu. Hapa ni serikali tatu tu ndio jambo la msingi.
 

jamani hawa watu watapata kichaa
 

Mkuu Chabruma naona update zote uwe unaziunganisha hapa kwa kuedit kwenye thread uliyoianzisha. Tunapata shida kufuatilia update zako kwa kulazimika kusoma comment zote. Mimi naogopa maana naweza kukutana na comment ambazo zitaniharibia siku yangu. Leo sitaki ugomvi na mtu
 
Last edited by a moderator:
Wananchi wengi walijikita kwenye muundo kama njia ya kuondoa kero.

Haki za binadamu iliongoza kwa kutolewa maoni mengi ikifuatiwa na muungano.

Asilimia 60 ya Wanzanbari walipendekeza muungano wa kimkataba.

Wadau wengi walipendekeza serikali 3!!
 
Kuwe na Rais wa JMT kisha kuwe na Waziri mkuu Tanganyika kisha Waziri mkuu Zanzibar- Warioba
 
Warioba anawaumbua ofisi ya waziri mkuu"nao walipendekeza serikali za tatu"
 
Kumbe Baraza la wawakilishi walipendekeza Serikali Tatu baaaaaaaaaaaaaaassi!!!!!Picha nyingine inakuja
 
Lissu anafurahia maoni ya Baraza la Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walipendekeza kuwa kuwe na Rais wa Jamhuri ya amuungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Waziri Mkuu wa Tanzania Bara na Waziri Mkuu wa Zanzibar
 
Wananchi wengi walijikita kwenye muundo kama njia ya kuondoa kero.

Haki za binadamu iliongoza kwa kutolewa maoni mengi ikifuatiwa na muungano.

Asilimia 60 ya Wanzanbari walipendekeza muungano wa kimkataba.

Wadau wengi walipendekeza serikali 3!!
Pamoja sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…