Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Now Grace Kiwhelu anaapa,Lema kaitwa hajatokea
Lema bado anaomboleza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Now Grace Kiwhelu anaapa,Lema kaitwa hajatokea
Naona siku hizi Star tv hawapo online na hii link ya bunge maalum ya tbc naona haina quality maana inakatika katika saaana!
Please kwa mwenye link bora zaid hata kama ni ya radio naomba.
Kweli kabisa mkuuMpaka hapo nimengudua ni kwa nini kulikuwa na Shinikizo la Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kutaka Jaji Warioba awasilishe kwa masaa 2 hiyo jana
Ni maumivu makubwa sana hawezi kuyavumilia.Lema bado anaomboleza.
Mpaka hapo nimengudua ni kwa nini kulikuwa na Shinikizo la Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kutaka Jaji Warioba awasilishe kwa masaa 2 hiyo jana
Ni maumivu makubwa sana hawezi kuyavumilia.
go go go warioba,wanafiki wa serikali mbili leo wapo uchi
Naona station zote wanazoonesha live wamekata sauti, warioba hasikiki tangu alipoanza kuzungumzia serikali tatu
Update
Imerudi sauti!