Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Malalamiko ya bara kuwa zanzibar kuwa na bendera yake,wimbo wake,sheria zinazopitishwa na bunge la muungano haziwezi kutumika zanzibar mpaka zipitishwe na baraza la wawakilishi.
 
Mpaka hapo nimengudua ni kwa nini kulikuwa na Shinikizo la Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kutaka Jaji Warioba awasilishe kwa masaa 2 hiyo jana
Mkuu, umegundua nini?
 
Naona siku hizi Star tv hawapo online na hii link ya bunge maalum ya tbc naona haina quality maana inakatika katika saaana!

Please kwa mwenye link bora zaid hata kama ni ya radio naomba.

Radio Maria
 
Aisee niko hapa nasikiliza live ila hakika wanashangilia sana wasilisho hili ila unaona kabisa kina CCM wanainamisha vichwa.
 
HIZI NONDO ZA MZEE Warioba,kama humuelewi basi ni kiburi tu!!

Katiba ya Zanzibar imepora mamlaka ya Rais wa JMT.

Katiba ya ZNZ Imeitambua ZNZ kama nchi.

KATIBA ILIYOPO IMEPOTEZA HISTORIA YA TANGANYIKA.

TANGANYIKA HAIMILIKI ARDHI KULE,WAO WANAWEZA
 
Anaurarua Muungano balaa! Duh! Noma aisee.
 
Mpaka hapo nimengudua ni kwa nini kulikuwa na Shinikizo la Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kutaka Jaji Warioba awasilishe kwa masaa 2 hiyo jana

Naona station zote wanazoonesha live wamekata sauti, warioba hasikiki tangu alipoanza kuzungumzia serikali tatu

Update
Imerudi sauti!
 
Wakuu Jaji Warioba anawasilisha Rasimu ya Katiba mpya. Sisi wengine hatufuatilii kwa sababu ambazo ziko wazi. Kwa mwenye access na hotuba hiyo atuwekee hapa kwa rejea.
 
Haya Malalamiko ya Zanzibar ndo yamefanya tume ione muundo ni tatizo
 
Hizi nondo anazoteremsha mzee Warioba ni kali. Kama wajumbe wakizijadili bila bias, hakika ujumbe uliopo ni dhahiri: Watu wanaitaka Tanganyika yao, tena very seriously. Na anavyoshangiliwa sasa! Naanza kupata mashaka kuwa chungu kitapasukia jikoni.
 
Kwanini Wazenji huwa wanachangia bajeti za wizara zisizo ya muungano!!

Serikali ya Tanganyika ndo serikali ya JMT.

Maria Sarungi anatoa update kule twitter.

Mambo ya Muungano yanasimamiwa na PM WA MUUNGANO AMBAYE HAWAJIBIKI Zanzibar kabisa.
 
Back
Top Bottom