Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Hotuba ya Warioba Bungeni Dodoma: Jumanne, Tarehe 18 Machi 2014 na Hoja ya Muungano wa Serikali Tatu

Mkuu Chabruma naona update zote uwe unaziunganisha hapa kwa kuedit kwenye thread uliyoianzisha. Tunapata shida kufuatilia update zako kwa kulazimika kusoma comment zote. Mimi naogopa maana naweza kukutana na comment ambazo zitaniharibia siku yangu. Leo sitaki ugomvi na mtu
Mkuu nimekusikia. Nitatekeleza hilo
 
Lissu anafurahia maoni ya Baraza la Ofisi ya Waziri Mkuu ambao walipendekeza kuwa kuwe na Rais wa Jamhuri ya amuungano wa Tanzania, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano, Waziri Mkuu wa Tanzania Bara na Waziri Mkuu wa Zanzibar

I like this!
 
Ametoa takwimu na kuumbua ofisi nyeti za serikali jinsi zilvyowasilisha maoni yao kwenye tume.ikiwemo ofisi ya makamo wa Rais,Baraza la wawakilishi,Bunge nk.Serkali 2 bye.
 
Huyu Mzee Warioba nondo anazoshusha hakika utajua tu Muungano
 
Kenya kila kitu kilikuwa live na media zote zilikuwa attention kweli sio hapa Bongo wanasubiri vituko bungeni ndio waandike front page!
 
CCM inaumbuka!!!! Taasisi zake nyeti zilipendekeza serikali tatu,, nashangaa wanaotetea serikali mbili wanaotaka wapi!!? Shame on you!!!

Tunataka serikali tatu,,
 
Zanzibar walivunja muungano kitambo sana!!

Tunataka Tanganyika yetu!!
 
Haya ni matokeo ya makosa yaliyofanywa (kwa makusudi) na 'aliyeanzisha' mchakato huu wa katiba mpya. Suala la uwepo wa muungano na aina ya muungano yalipaswa kufanyiwa referendum kwanza kabla ya kuandika katiba.

Kwa namna mchakato huu ulivyokwenda, kuna uwezekano mkubwa tukawa tumepoteza mabilioni yaliyotumika pasipo kupata katiba mpya. Rasimu imetengenezwa on the basis of a three tier government, endapo wajumbe wa BMLK wakiamua tu kuwa wanataka serikali mbili na si tatu, kimsingi watakuwa wamevuruga mchakato mzima na kwa uhalisia kazi nzima ingepaswa irudi ifanywe tena na tume ya katiba. Si rahisi kwa BMLK kuja na Rasimu yenye msingi wa serikali mbili katika muda mfupi uliopo (labda kama watachukua katiba iliyopo (ya 1977) na kuibadilisha).

Ndio sababu Jaji Warioba alitahadharisha kazi ya BMLK iwe ni kuboresha Rasimu na sio kubadilisha hoja ya (za) msingi.
 
Kwa mapendekezo haya katiba ya Zanzibar itabidi ifumuliwe upya.
 
Mpaka hapo nimengudua ni kwa nini kulikuwa na Shinikizo la Mwenyekiti wa Bunge la Katiba kutaka Jaji Warioba awasilishe kwa masaa 2 hiyo jana
 
Naona anauchana Muungano uliopo kisawasawa. Nasikia vigelegele vya nguvu kumshangilia.

ANGALIZO: Anauchana kwa vielelzo na takwimu zisizo na shaka na sio kwa maneno matupu.
 
Kinachotaka serekali 2 ni chama cha mapinduzi na wale wote ambao maisha yao yote wamewekeza ndani ya CCM lakini wtz wengi wanataka serekali 3 ambazo zitaifanya Tanganyika irudi.Ikishindikana pawepo na serekali moja yenye nchi moja ya Tz.
 
Back
Top Bottom