Mpaka Kieleweke
JF-Expert Member
- Feb 27, 2007
- 4,132
- 1,577
Shivji , alikuwa anapayuka bila takwimu na vielelezo, alikuwa anafanya kazi ya Consultancy ya CCM .....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kwa nini haliwezekani? Vinginevyo tutakuwa wanafiki. Hatuwezi kuhubiri muungano wenye utengano
Pana viazi hili hawalioni. Mwenyezi Mungu mzidishie afya njema mzee wetu Joseph Sinde Wazioba.Naona anauchana Muungano uliopo kisawasawa. Nasikia vigelegele vya nguvu kumshangilia.
ANGALIZO: Anauchana kwa vielelzo na takwimu zisizo na shaka na sio kwa maneno matupu.
Kwenye maoni wamependekeza mengine.................kwenye Bunge wanaongea mengineKwanini?
Yaani mkuu vyombo vya habari hapa bongo ni majanga tupu. Sisikii radio yoyote zaidi ya TBC. Najiuliza hivi sisi Watanzania tuna akili nzuri kweli? Something must be very wrong somewhere! Kikao muhimu kama hiki radio almost zote ziko kwenye ndomboloo and some other shit!
Lema yupo mjengoni na yupo katikati ya wanawake huku akishika tama
Acha urongo!!
Warioba shikamooooooo!!!! Hongera kwa kuweka wazi unafiki wa CCM..... Mijitu inatetea tu serikali mbili kingese tu!!!