Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtikila anafrahia kurudi Jamhuri ya Watu wa Tanganyika
"Kama kuna jambo moja ambalo wazanzibari wa makundi yote wanakubaliana, ni Zanzibar kuwa nchi" kasema Warioba.
Dah mkuu, kiukweli nimecheka sana jinsi nilivyoandika hapo juu. Warioba amenichanganya anavyotetea utengano ndani ya Muungano. Sipendi serikali mbili na nachikia huu muundo wa serikali tatu. Mie ni muumini wa serikali mojaMkuu umechanganywa wapi?
Au nawe ni miongoni mwa wale wasiopenda kuambiwa ukweli?
Huyumtu balaa kila sekunde zanzibar
Naishiwa nguvu kwa jinsi warioba anavyotetea kitu ambacho hakina uhalisia. Anetumia muda mwingi kupendekeza serikali moja ningemuoma wa maana sana

Hahahahahahaaaa! Usijali
mkuu! Warioba meno hana na kabla ya kuingia pale, ameshakata kucha
zake!
CCKama CCM hawajamwelewa Warioba then itakuwa ni ukweli zaidi kwamba wanafikiria kwa kutumia matumbo (Komba, Kificho, Leonidas Gama) na/au makalio
Mzee msomi ameeleza kila kitu wazi, vizuri, taratibu na kwa mtiririko wenye mantiki, very nice
Acha bwana! Ila macho bado yapo tena yote, umenielewa?
Naishiwa nguvu kwa jinsi warioba anavyotetea kitu ambacho hakina uhalisia. Anetumia muda mwingi kupendekeza serikali moja ningemuoma wa maana sana
Vipi John Komba yupo?