Hotuba ya Zitto Kabwe kwa Watanzania. Asema Mashtaka ya Mbowe yanachochea chuki na kupasua Nchi

Wajinga kweli,halafu akiongea ndo tozo zitatoka?

Kuandamana hayataki acha yapigwe,walifikiri tozo ni kwa upinzani tu
Yaani jamaa kwanza Chama chake tawala ndo kilipitisha hizo'tozo gandamizi' kwa 100%, sasa tena anataka upinzani uzungumzie na kulalamikia kuhusu hilo tena.... kaazi kwelikweli.
 
Sasa Mh zito ililuaje Tz iliingia uchumi wa kati 2020 kama ukuaji wa uchumi ulishuka hadi 2%?

Umetaja watu wanaotakiwa kuwajibika kwa kuwapotosha wananchi juu ya Corona. Mbona umemuacha Rais aliyepo?
Unataka apewe kesi ya ugaidi
 
Tupewe takwimu za vifo vya korona, si vifo kwa ujumla!

Tupewe pia takwimu za vifo vya mataifa ambayo ziko strict kwa barakoa na lockdown ili tuamini ongezeko la vifo tz ni kutovaa barakoa na kutojilockdown!

Kama mataifa yote Kuna ongezeko la vifo, Basi tujue ni sababu ya janga la dunia na si janga la tz

Ningeshauri serikali ifanye tafiti ya ya Hali ya vifo vya korona tz na nchi zingine ili tuone tumeanguka kiasi gani au tumefaulu kiasi katika kupambana na korona kuliko kutishana kilasiku eti tunakufa Sana kwa uzembe wetu ilhali nchi za barakoa na lockdown zinapata vifo kwa rate hiohio ama zaidi!
 
kachanjwe wewe inatosha maana bahati nzuri au mbaya hata familia huna ningekuambie ukachanjwe wewe na familia yako
 
Wacha kutetea uongo hata kama unampenda Zitto!
 
Rudia kusoma spichi ya Zitto, ametaja vifo vya korona na si jumla! Siku hizi vinarekodiwa!
Pamoja na u- MATAGA wako, hujaweza kupambanua?
 
Tupewe pia takwimu za vifo vya mataifa ambayo ziko strict kwa barakoa na lockdown ili tuamini ongezeko la vifo tz ni kutovaa barakoa na kutojilockdown!

Kama mataifa yote Kuna ongezeko la vifo, Basi tujue ni sababu ya janga la dunia na si janga la tz

Ningeshauri serikali ifanye tafiti ya ya Hali ya vifo vya korona tz na nchi zingine ili tuone tumeanguka kiasi gani au tumefaulu kiasi katika kupambana na korona kuliko kutishana kilasiku eti tunakufa Sana kwa uzembe wetu ilhali nchi za barakoa na lockdown zinapata vifo kwa rate hiohio ama zaidi![/QUOTE]
 
Wacha kutetea uongo hata kama unampenda Zitto!
Ww ni mgeni hapa jf na kwenye siasa za Tanzania kwa ujumla.. afu nikwambie ukweli mimi napingana na zito kweny mamb mengi maana tunatofautiana kwenye vyama na itikadi za vyama, ila ukweli ndio huo jamaa huwa anashambuliwa sana akijaribu kuipongeza serikali kwa jambo fulan, lkn wakati huo huo Lisu au Mbowe akipongeza utasikia wanasema siasa sio uadui.
 
Huyu jamaa hajawahi kuacha kuwa ndumilakuwili
hapo Juu anahoja ya mawaziri kuwajibishwa ili kagap kawepo labda atafikiriwa yeye.....

Anasahau kuwa ile serikali iliyopinga mbinu anazodai Ni za kisayansi wakati ule ndio hii hii iliyopo wakati huu..... watu wameamua kubadili misimamo, yeye hataki anataka sura ndio zibadilike..... hahahaaa wapinzani mnafeli padogo sana,
 
Sasa Mh zito ililuaje Tz iliingia uchumi wa kati 2020 kama ukuaji wa uchumi ulishuka hadi 2%?

Umetaja watu wanaotakiwa kuwajibika kwa kuwapotosha wananchi juu ya Corona. Mbona umemuacha Rais aliyepo?
Huyu jamaa ni mnafiki Sana anajenga hoja kwa kukwepa kwepa ukweli

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 

Takwimu za nchi takribani zote duniani (isipokuwa Tanzania) ziko wazi kwenye Internet.

1. Kenya:



2. Uganda:





3. Rwanda:



Waliotuulia watu kweli kama huyu tuwaache hivi hivi kweri?




Aaah wapi!
 
Kwani Jokate na Shaka wana umri gani? Aidha, unadhani kila mtu alikuwa anasubiri mpaka zifike chanjo za hisani nchini?

Amandla...
 
Tunawashukuru kwa kukemea uovu huu wa serikali dhidi ya wapinzani na hasa Mbowe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…