Ni kweli kuwa mtu anaetaka kwenda ikulu kwa pesa ni wa kuogopwa kama ukoma
Watu wa aina hii wote wapo CCM,sio Membe wala nani,wote ni wale wale
Mmmmmh......... Tanzania ya 1992 sio ya leo 2015! Kuwa,makini usidanganyike na sauti
Rostam yupi tena ndugu?
hotuba ya Mwalimu kwenye sherhe za mei mosi kitaifa mbeya? hujiulizi kwa nini TBC hawarudi hotuba za nyerere? ni hotuba za mchonga ni mwiba mkali kwa CCM ya leo
Jamani hee hapa kwenye JF pawekwe sehenu maalum, watu wenye hizi speech za mwalimu waweke nadhani zitatusaidia sana
NItajie mtu hata mmoja asiyetumia pesa kusaka njia kuelekea ikulu
hotuba ilivyoanza kama walikuwa wanaangalia itv washabadili stesheni zamani,
unafiki wao unawasuta kutazama hotuba za Nyerere,
Mmeshikwa pabaya hahahahahaha hivi ukijiuliza Mzee wenu alikuwa na haraka gani kufanya movie zote hizo?
Ujumbe mzuri huu, tujiulize tu anakimbilia Ikulu kufanya nini?
Ahsante kiongozi. Tataizo ni kwamba waTz wengi wenye uwezo ni waoga! Kama si kuogopa fitna, basi ni ushirikina!
January makamba na Membe wameungana wamewekeza Mabilioni wanatengeneza hiyo kazi na watahakikisha inasambazwa kote , Lakin wamesahau kuwa Watanzania wa sasa si wajinga wameshajua mchezo Woote na pesa wanazotumia kusambaza Fitna ni Nyingi kuliko pesa anazotumia Lowasa.
hao wote ni mizigo ya takataka. tunataka kiongozi safi na boraMembe ni Mwizi wa pesa za Marehemu Gadafi na pesa za Ununuzi wa nyumba za Balozi huko Ulaya America na kwingine hata lile fungu la pesa za Wageni pale wizara ya mambo ya nje Membe huwa anapiga pesa nyingi, January Makamba ni mwizi amekuwa akitumia ikulu kujipatia 10% kwa kila Uwekezaji waliofika ikulu na ule mladi wa mararia alimwibia sugu na sasa anamchuna pesa Rostam Azizi baada ya kuchepuka na dada yake mwanvita, Hapa Tanganyika hakuna Kiongozi aliye msaafi kiasi cha kumnyooshea mwenzake Kidole, Wakiletwa FBI wawachunguze Viongozi Wote mmoja baada ya mwingine wote watakwenda Jela kwani Wengi wanamiliki nyumba mali Kinyume na Vipato vyao harisi.
Nafahamu vizuri sana. ukihitaji uthibitisho nitaweka link.