Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ile hotuba ya mwl Nyerere ya masaa matano nani anayo, iko kwenye youtube? aliitoa chimwaga na komba alitunga wimbo
nikombali sana na huko Dar!nenda tbc au itv utaipata,
Hivi kuna kiongozi wa leo mwenye ujasiri wa kutazama hotuba za baba wa taifa kweli?
kama dhamira imekufa wanasikiliza tu haina shida.hotuba ilivyoanza kama walikuwa wanaangalia itv washabadili stesheni zamani,
unafiki wao unawasuta kutazama hotuba za Nyerere,
AZIMIO LA ARUSHAMULISOME NA HAKIKA MWAWEZA KULIA PITIA SEHEMU YA TANO NA LINGANISHA NA HALI HALISI YA SASA.
NA
SIASA YA TANU JUU YA
UJAMAA NA KUJITEGEMEA
1967
Waone watu wa TANAPA ndio walidhamini kuzihifadhi nadhani wao wanazo. La cheki na ofisi za information pale mjini samora na maktaba watakuwa wanajua zinapatikana wapi.Natafuta hotuba za nyerere zikiwa katika audio au video. Mwenye kujua nitazipata wapi anijulishe
Nashukuru sana kwa taarifa.