Kwani viwanda na mashirika ambayo wakuu wako wanauza alijenga nani?muulize mzee wako aliesoma bure atakuambia
Natafuta hotuba za nyerere zikiwa katika audio au video. Mwenye kujua nitazipata wapi anijulishe
Afadhali ujinga wa nyerere kuliko wa hao unaowasujudia Faiza Foxy.Zitakujaza ujinga tu.
Monile wakuu! Mwenye hotuba zake kwa mfumo wowote ule,wa maandishi,audio au video, naomba anisaidie niweze kumsikiliza au anijulishe wapi ntazipata.
Zitakujaza ujinga tu. hakuna cha maana utachokipata humo. Kama unabisha zitafute, sikiliza halafu njoo utuambie cha maana ulichokipata.

Harufu ya udini hapa...
Mwengine huyu, hivi kwanini tusiokubaliana na Nyerere tuwe wadini?