RockSpider
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 6,859
- 2,757
Kila Zama na Kitabu chake! Huu ni wakati wa Lowassa... Story za Steve Nyerere Pelekeni kwa Membe na January ...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kila Zama na Kitabu chake! Huu ni wakati wa Lowassa... Story za Steve Nyerere Pelekeni kwa Membe na January ...
It is the real Speech of Nyerere, walichokifanya ni kuandaa image
Kila Zama na Kitabu chake! Huu ni wakati wa Lowassa... Story za Steve Nyerere Pelekeni kwa Membe na January ...
Sauti ya Nyerere kweli bado inaishi! Maneno haya aliyoyazungumza miaka 20 iliyopita, utafikiri ameyasema leo!!!!!????? Kweli Nyerere alikuwa lulu, hakuna ubishi!
Huyo Steve Nyerere wewe ... Rudia tena kuisikiliza ...
Hawa team members mmeishiwa sera,,,hivi mnafiki sie ni watoto hata sauti ya nyerere hakufaham?
Steve nyerere anaongea mnatakutudanya mnafikir sie n washamba kiivyo eti,kwa taarifa yenu Lowassa n tumain letu watanzania hyo membe kwnza ana uraia wa nchi mbili hvo hana uzalendo na taifa hili hatuhitaji mamuluki kw hili
'Mtanzania wa leo' hivi leo ya kwenye video na leo ya leo bado zinafanana!!
Ujumbe mzuri huu, tujiulize tu anakimbilia Ikulu kufanya nini?