Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Lowassa aueleze umma wa Tanzania ameupataje urais wake?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa tunatakiwa kushangaaa kwa pamoja, Logic gani inatumika kufanya comparison? Leo ipi.... Nani kanunuliwa? watu wanaaminishwa ujinga ujinga tu....
It is the real Speech of Nyerere, walichokifanya ni kuandaa image
It is the real Speech of Nyerere, walichokifanya ni kuandaa image
Huyo Steve Nyerere wewe ... Rudia tena kuisikiliza ...
Badala ya kutuambia mtakachokifanya mmekalia kumu attack Lowasa. Nyambafu zenu
napenda kuona TEAM MEMBE ikiwa bize. Wanatumia teknolojia ya kisasa kuwafikia watu direct kupitia twitter, youtube whatsapp, facebook,instagram,
TEAM LOWASA bado mna kazi kubwa sana ku catch up na Team Membe
TEAM JANUARY MAKAMBA nilitegemea wangekuwa mstari wa mbele kwenye kutumia kampeni za teknolojia lakini naskia January watu wake hawako happy na menejimenti inayoongozwa toka South Africa

Mbona haina mahusiano. Lowassa anachangiwa hela so kwamba anawapa. Hapo utasemaje amenunuliwa?
Hivi hamuoni kuwa hii nchi ishanunuliwa na Wachina? Ebu jiulize mkopo ambao mhe. Rais amekopa kwa Serikali ya China baada ya wafadhili kusitisha fedha za maendeleo zitalipwaje zaidi ya US$ Trilioni 1.8? Angalia mikataba iliyosainiwa wakati rais wa China alipokuja, hadi leo kuna anayejua kilichomo hata kwenye mkataba mmojawapo? Sasa kwa taarifa yako hiyo sauti inamhusu huyu aliyeko madarakani kwa sasa. Fikiri kwa kina.
Julius Nyerere apumzike kwa amani...ni Mtanzania wa kupigiwa mfano milele na ataishi milele
Timu Maembe mtasema sana huku safari ya matumaini ikikaribia magogoni.
Julius Nyerere apumzike kwa amani...ni Mtanzania wa kupigiwa mfano milele na ataishi milele
Hiyo video imetengenezwa na January Makamba kisha akampelekea Membe wakaiangalia pamoja wakaamua kuweka pesa nyingi isambazwe kote Nchini wakiamini kuwa itamdhoofisha Lowasa na wao wapate nafasi, Tambua kuwa January na Membe wanatumia pesa kueneza fitna kwa Lowasa japo Makamba anatumia mpaka Uchawi huku dada yake akichepuka na Uhuru Kenyata na Rostam Azizi kupata pesa za kumsaidia huo wote ni Ununuzi wa njia ya ikulu ni matumizi ya pesa kununua njia ya ikulu, woote wanatumia pesa kwenda ikulu tena Membe na January wanatumia njia haramu zaidi.Ni kweli kuwa mtu anaetaka kwenda ikulu kwa pesa ni wa kuogopwa kama ukoma
Watu wa aina hii wote wapo CCM,sio Membe wala nani,wote ni wale wale