Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Hotuba za Mwalimu Julius Kambarage Nyerere

Hamna kiongozi msafi Tanzania, kwani baada ya nyerere ni maraisi wangapi wameshapita. Hali inazidi kua mbaya kila siku kisa watu wamemkariri Nyerere. Hii nchi tuliachiwa viwanda vingapi wakati Nyerere anatoka madarakani, elimu ilikuaje kipindi hicho. Mfumuko wa bei ulikuaje kipindihicho, heshima ilikuaje na mengine mengi tu. Lakini hapa watu watakuja watamlaumu Mkapa na Nyerere. Watanzania tunapenda sana kutoa lawama. Nyerere ameondoka madarakani lini na sisi tunaidai Tanganyika lini. Miaka yote imepita tunalialia tu. Huyo Lissu na wengine wote walikua wapi. Ni mtikila tu ndio anayeililia Tanganyika.

Nimekuuliza, vipi Lissu aliyesema huyo Mzee ni muongo, nae ni mdini? Jibu swali wacha kubwabwaja kama mlevi wa gongo.
 
Nimekuuliza, vipi Lissu aliyesema huyo Mzee ni muongo, nae ni mdini? Jibu swali wacha kubwabwaja kama mlevi wa gongo.

Kwa hiyo katika siku zoote lisu alipokufurahisha ni hiyo tu ya kumkosoa Nyerere. Hamna kingine alichokufurahisha nacho. Sijui umri wako lakini inaelekea umeshazeeka sana. We achana na mambo ya mitandao kaa nyumbani umpikie mme wako. Unakera kwa kweli. Yaani ni mdini mpaka unatia kichefuchefu. Na sijui hata kama shule umeenda wewe maana hata upeo wako kufikiri ni mdogo sana. Nimeona hata mahali unawasifia kaka zako boko haramu kwa kuwateka watoto wa kike. Kaombe toba kwa Mungu kwa dhambi hiyo la sivyo lazima ikurudie kwa watoto wako.
 
Leo Lisu unamuona wa maana kisa kamkosoa Nyerere; kwa taarifa yako mtazamo wako haufanani na wa Lisu kuhusu Nyerere kwani anamkubali na anamheshimu ila yuko tayari kukosoa pale aonapo mapungufu tofauti na wewe unayeonesha dharau. Punguza ubaguzi. Mkuu benteke huyu mama asubiri siku wakristu wakioa mwanae (kama Mungu kamjalia wa kike), atakoma kuringa.

Huyu mama kwa kweli anakera, nimeona maranyingi sana ana udini mbaya sana anaweza ata akakulisha sumu huyu. Ni wa kumsamehe tu maana ni masikini wa mawazo.
 
Kwa hiyo katika siku zoote lisu alipokufurahisha ni hiyo tu ya kumkosoa Nyerere. Hamna kingine alichokufurahisha nacho. Sijui umri wako lakini inaelekea umeshazeeka sana. We achana na mambo ya mitandao kaa nyumbani umpikie mme wako. Unakera kwa kweli. Yaani ni mdini mpaka unatia kichefuchefu. Na sijui hata kama shule umeenda wewe maana hata upeo wako kufikiri ni mdogo sana. Nimeona hata mahali unawasifia kaka zako boko haramu kwa kuwateka watoto wa kike. Kaombe toba kwa Mungu kwa dhambi hiyo la sivyo lazima ikurudie kwa watoto wako.

Nimekuuliza, vipi Lissu aliyesema huyo Mzee ni muongo, nae ni mdini? Jibu swali wacha kubwabwaja kama mlevi wa gongo.

Vipi? swali gumu hilo?
 
Vipi Lissu, aliyesema huyo ni muongo, nae ni mdini?

ivi wewe mbona unajidai uoni lolote babu yako nyerere kakufanyia chochote sisi miafrika bana sijui tukoje badala ya kufocus unakaa umekalili tu kila tatizo nyerere mtu kasitaafu tangu miaka 30 iliyo pita mpak leo yyte ndo kila ki2 du
 
mkuu kwa miaka 24 ya uongozi wake alilifikisha wapi hili taifa? kwa nini hatutaki kuuona ukweli na kuwa wakweli?
Naona alitufikisha pazuri tu japo kuna mapungufu kadhaa ila huwezi linganisha na sasa! Elimu ilikuwa ya juu, viwanda vilikuwepo, amani ilikuwepo, hakuna aliyethubutu kusimama na kuongea udini au ukabila kama Lukuvi hadharani. Fedha ilikuwa na thamani na mali zetu zililindwa bila kuhujumiwa! Watanzania walikuwa na utu sii kama leo wageni wanaingia hovyo nchini, mitembo inauliwa, watoto wanabeba na kula miunga, aisee too sad! Ndiyo kila mwanadamu ana mapungufu lakini amini tu kuwa Nyerere alituacha pazuri kuliko sasa mkuu kinyume na hapo ni dhihaka.
 
mkuu unaongelea elimu ipi? kwanini sisi tunalalamika kuwa tuko nyuma kielimu kuliko kenya na majirani wengine in term of quantity? miaka 24 nyerere alikuwa anafanya nini? kwa taarifa yako nyerere hakujenga wala kupanua elimu zaidi ya kuendeleza zile chache za wakoloni aizozikuta. lakini pia kama haitoshi mpaka anaondoka madarakani wilaya ya musoma ilikuwa na shule za sekondari 14 wakati wilaya ya mafia haina hata shule moja, unalionaje hili? unaongelea viwanda vipi? mkuu ulishawahi kuvaa tairi za gari miguuni? ulishawahi kuona wazazi wako wakivaa kaniki (huenda hata huzifahamu zilivyo)? ulishawahi kupanga foleni ya kwenda kununua chumvi, sabuni na mafuta ya taa kwenye duka la ushirika (tena ukichelewa unamwambia rafiki yako akuwekee jiwe)? nawasiwasi huyo nyerere unayemuongelea humfahamu. kwa taarifa yako wale tulioishi kipindi cha nyerere tuliipata, ukiwa hata na kaduka tu jela inakuhusu wewe ni muhujumu uchumi. ndo maana Mwinyi alipoingia madarakani waTz walijiona kama wako peponi. sio kwa sababu uongozi wa mzee ruhsa ulikuwa mzuri sana bali kwa wengi ilikuwa ni kutoka kifungoni cha uongozi wa kidikteta wa zidumu fikra SAHIHI za mwenyekistuli wa chama.
hata hivyo nina moja tu zuri la nyerere, alitunza rasilimali zetu-na hili nalisema hadharani bila aibu.

NB; mzee mchoka alizoea vya kunyonga, vya kuchinja asingeviweza (ndo maana mpaka leo mnamsujudia)-Tundu Lisu-2014, bunge la katida, Dodoma.

Naona alitufikisha pazuri tu japo kuna mapungufu kadhaa ila huwezi linganisha na sasa! Elimu ilikuwa ya juu, viwanda vilikuwepo, amani ilikuwepo, hakuna aliyethubutu kusimama na kuongea udini au ukabila kama Lukuvi hadharani. Fedha ilikuwa na thamani na mali zetu zililindwa bila kuhujumiwa! Watanzania walikuwa na utu sii kama leo wageni wanaingia hovyo nchini, mitembo inauliwa, watoto wanabeba na kula miunga, aisee too sad! Ndiyo kila mwanadamu ana mapungufu lakini amini tu kuwa Nyerere alituacha pazuri kuliko sasa mkuu kinyume na hapo ni dhihaka.
 
Vipi Lissu, aliyesema huyo ni muongo, nae ni mdini?
lissu akusema nyerere ni mungu wala akusema nyerere ni shetani alionyesha ubinadamu wa nyerere kama mimi na wewe na hata yeye lissu ni binadamu hoja yako ni nn? ivi ww uelewi 2 au una lako?
 
Asanteeeeee mleta uzi.
Mkuu huyu mzee hakuwa mtu wa kuhifadhi wahalifu! Kiongozi alikuwa akifanya kosa anaogopa kuwa atajificha wapi mzee kifimbo asimuone, leo hii watu wanakula dili na wakuu ili wasiguswe! Alitambua kuwa mabadiliko ni lazima sio kama hawa wa leo!
 
Mkuu Abunuas huyo kiongozi naona alikuwa mtekelezaji, na subordinate walikuwa wanawajibika hasa. Kinyume na siku hizi.
mkuu sikatai ukisemacho. swali langu ni rahisi tu. kwa miaka yote 24 aliyokaa pale magogoni ametufikisha wapi? (kielimu,kiafya, miundombinu na mengineyo-fanya comparison hata na majirani zetu tu au na nchi kama china/malysia/thailand/taiwan/korea ambao wakati tunapata uhuru miaka ya 60 tulikuwa sawa) tumia facts mkuu na sio mambo ya kufikirika.
 
Habari wana Jamii Forums,.

Nimekuwa nikizisikiliza Hotuba mbalimbali za hayati Mwalimu Nyerere ambazo zilipata kurekodiwa katika nyakati tofauti tofauti alipokuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hotuba hizi mara nyingi zinarushwa hewani katika kipindi maalum cha Hotuba za Baba wa Taifa kupitia Tbc Fm.

Hotuba nyingi zilikuwa zikihusiana sana mambo ya Ujamaa katika Taifa letu ambalo kwa sasa dhana hiyo haipo kiuhalisia.

My take: Kuna haja gani ya Hotuba za hayati Mwl. Nyerere kuendelea kurushwa hewani ilhali haziendani na mazingira halisi yaliyopo sasa?

Nawasilisha,..
 
Back
Top Bottom