FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Hamna kiongozi msafi Tanzania, kwani baada ya nyerere ni maraisi wangapi wameshapita. Hali inazidi kua mbaya kila siku kisa watu wamemkariri Nyerere. Hii nchi tuliachiwa viwanda vingapi wakati Nyerere anatoka madarakani, elimu ilikuaje kipindi hicho. Mfumuko wa bei ulikuaje kipindihicho, heshima ilikuaje na mengine mengi tu. Lakini hapa watu watakuja watamlaumu Mkapa na Nyerere. Watanzania tunapenda sana kutoa lawama. Nyerere ameondoka madarakani lini na sisi tunaidai Tanganyika lini. Miaka yote imepita tunalialia tu. Huyo Lissu na wengine wote walikua wapi. Ni mtikila tu ndio anayeililia Tanganyika.
Nimekuuliza, vipi Lissu aliyesema huyo Mzee ni muongo, nae ni mdini? Jibu swali wacha kubwabwaja kama mlevi wa gongo.
