Ukicheka na nyani atakufata hadi chooni.
Pale pale wakati anakutongoza ungempa mapande yake.
Hatujui ulimjibu nini. Au ulikuwa unang'ata vidole halafu mguu unachimba chini na mkono mmoja unachezea majani!!
Bwana wewe mbona mie sikioni hebu nielekeze basi bwana
kweli naamini hukioni maana naona senks zako zinaonyesha "0".
hebu nenda upande wa avatar yako angalia moja kwa moja
chini ya "rep power" utaona pameandikwa "thanks"
bonyeza hapo lol
Mchumba utalala saa ngapi ?unajua huyu yuko hapa muda mrefu sana zaidi yako..
tangu 2007.
Mchumba utalala saa ngapi ?
haya naona unanifukuza mmhh
haya bwana sweet dreams..
tukutane chumbani ..
usiku mwema
mmmwwaaaahhh
Desidii pole na hongera kwa lililokufika;
Mie niko namtazamo tofauti kidogo. Hawa vijana wa kazi wanajua siri kibao za waajari wao.
Isije kuwa baba watoto wako anacheza mechi za mchangani na huyo HB anafahamu hilo.
Sasa pengine anakuhurumia kwamba mbona Mr. anakutenda, kwa msingi huo anaamini mumeo hakupi dozi ya kutosha ndio maana anasema "naweza kukupa raha mno".
Usikimbilie kufukuza tu jaribu kumdadisi pengine ni zaidi ya hilo. Usimwonee HB kutoka kule kwetu kwenye matoke karibu na gulioni Katerero.
Boss wako akikutongoza unaacha kazi???
Furahi kwamba una watoto wanne na bado unavutia wengine hata hawasalimiwi barabarani.
Alamsiki
kweli naamini hukioni maana naona senks zako zinaonyesha "0".
hebu nenda upande wa avatar yako angalia moja kwa moja
chini ya "rep power" utaona pameandikwa "thanks"
bonyeza hapo lol
Ha ha ha ha enzi za mwalimu hizo duuhhh hivi bado inaaply??? Mie mama mtu mzima mitoto minne bado nang'ata vidole???
Huyo houseboy amekukosea heshima na amekudharau na kukudhalilisha wewe na mumeo.
Anajua kuwa wewe ni bosi wake, pia anajua kuwa wewe umeolewa na unaishi na mumeo.
Hii ni kwmba huyo houseboy amemuona mumeo kama ameshindwa kukuridhisha wewe kimapenzi ndio maana akajitolea kukupa raha.
Pia huenda amekuona wewe una uroho sana wa ngono kiasi kwamba huchagui mwanaume, yeyote ajaye mbele yako wewe unabeba.
huna haja ya kumfukuza kazi, mwanamke kutongozwa ni jambo la kawaida, haouseboy anayo haki ya kutongoza na wewe si mama yake. jukum lako mwambie siwezi kusaliti ndoa yangu, kwa kifupi mkatalie mwambie no, halafu mwache afanye kazi yake. umfukuze kama atashindawa kufanya kazi yake. lakini kaa naye mpe tahadhari asiwaongoze watoto wako na binti wa kazi hapo umfukuze. lakini wewe mtu mzima mnyime na mpuuze na usimwmbie mume wako atakumaindi.
fidodido
*Usahuri* poa sana Fidodido. Thanks
Uamuzi nishaupata Maalim nikumtimua mbali au unasemaje??