Houseboy

Status
Not open for further replies.
Ama kweli haya ni maajabu, na hili mpaka uuambie ulimwengu ukusaidie, kazi ipo. inaonekana houseboy alikuona uko fragile ndio akaona ana nafasi ya kukutongoza, unatakiwa uonyeshe msimamo wako mapema kwa hawa watu, ukiwachekea ndo inakuwa hayo. mwambie ashike adabu yake, kama anakutaka amwandikie barua mumeo akuache then akaoe!
 

Sawa huu ndo ushauri naoutaka!! Thanks
 
Nina houseboy hapa home!! Jana wakati tuko shambani kanitongoza/kanitamkia ananizimia na anaweza kunipa raha mno!!

We usimfukuze wala usimwambie mtu kutongozwa ni jambo la kawaida

We huna budi kumkubalia au kukataa basi
 

Hapo kwenye bold sijakuelewa!!!
 
I mean kama yuko seriuos na anajua kuwa anachokifanya ni right basi afaute legal procedures!

Ha ha ha ingekuwa hivyo hakuna ndoa ambayo ingedumu!! Ukitongozwa tu unaachana na mumeo?? Hiyo ngumu!!!
 
Nimepata pointi kubwa mno hapa kuwa hapo kwenye red!!! Big Up!!!

Inaonyesha unapagawishwa sana na mahouse boys,
mimi ni house boy, na hii huduma nimeshatoa sana kwa mother house kibao,
unaonaje hii huduma nikikupatia na wewe?
 
Sijawahi ongea nae kuhusu ngono hata siku moja na wala time nae sina kivile nikitoka usiku nikirudi usiku zaidi ya kuuliza kuku, ng'ombe, mbuzi wanaendelaje sina kingine
,
Dada, pole kwa haya, huyu jamaa anakutamani hajui kumruhusu nikuhatarisha maisha yako, sasa chakufanya kama unaona ningumu kumfukuza utahatarisha maisha ya mifugo yako, mueleze mumeo kuwa ni vema kama mtamtafuta kijana aliye karibu ya familia yenu, pande zote ambaye atasaidiana na huyu jamaa, akishakuja kafahamu nin chakufanya kuhusu mifugo, basi mtoe baro mwambie mumeo cost ya wawili ni kubwa na kwakuwa huyu mgeni kafahamu kazi basi huyu anaetafuta kukufukuzisha njiwa wako, aondoke muage mpe hata kiasi chakuanzia maisha mwambie kila jambo lina mwisho pole kwa yote, ili akiondoka asikutafutie visa huko mtaani ukapoteza maisha au ukapata mtafaruku wa aina yoyote.
 
Inaonyesha unapagawishwa sana na mahouse boys,
mimi ni house boy, na hii huduma nimeshatoa sana kwa mother house kibao,
unaonaje hii huduma nikikupatia na wewe?

Heee jamani mie sitaki mother house kama ushawapa huduma kwangu no bro
 

Hapo kwenye red mbinu nzuri sana!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…