Desidii, habari ya toka 2007! heshima kwako,
sasa mimi nisemee upande mwingine
Houseboy ni nani hasa? si mwanaume kama wengine, zaidi ni binadamu, ana hisia zake kama binadamu wengine pia....kwa hiyo kwanza tusimchukulie kwa namna ya mtu wa chini
Ni jambo la kawaida kwamba kwa malezi na hisia zake, anaweza kumtamani bosi wake hii si ajabu...ni juu ya bosi kupima mwenyewe na kufanya uamuzi ambao utakuwa na manufaa kwa pande zote mbili....
Attention kwako wewe **** tu!!! Hovyooooooo ngoja nikuache punguani wewe!! Huna jipya la kuniambia
Desidii wewe ni attention seeker. Hii habari umetunga ukakimbilia kupost baada ya kuona mwenzio katoa ya kumtamani baba mkwe.
Haya umeshajuliknaa kuwa na wewe umo.
Ehhh??? Inahuuuu???Jisome kwanza wewe wa lini na mimi wa lini sawa halafu uje na majibu??? Kujulikana JF unajua jina langu wewe ebu kwenda kule!! Kafie mbele
Kama una usingizi lala acha kupost ujinga na upumbavu wako!!!! Kujulikana?? What does it mean for me????
Wewe ni wazamani ndio maana unatafuta attention kwa kutnga vistory kuonyesha kuwa umo.
Halafu tarehe za kujiunga zisikushaue sana, re-registration is not illegal in JF.
Acha mchezo huo.
Kama wewe ni wa zamani unajua fika hapa we dare to talk openly, we call a spade a spade not a big spoon, nyani akakomwa giladi mchana kweupe.
ACHA KUTAFUTA ATTENTION KWENYE MITANDAO. KISTORY CHAKO ULIVYOTONGOZWA NA HOUSE BOY NI CHA KUTUNGA.
Attention kwako wewe **** tu!!! Hovyooooooo ngoja nikuache punguani wewe!! Huna jipya la kuniambia
Mkuu heshima imefika!! Nashukuru!!! NAchoshangaa mie ni hapa kuandika kuwa House boy?? Ama kitu gani??
Kwa busara hizi, no wonder unatunga kistory cha kutongozwa na house boy.......pole kwa kusufer attention disorder.
For your future consumption, JF kuna kila aina ya watu, wengine wajua kuchuja ukweli na uongo kupitia majibu mbalimbali unayoyatoa. Hivyo basi ukija na kistory chako kisicho na mashiko unakomwa giladi vile vile. So just your know.
Ujinga mtupu!!!!!! Pumba!!!
yeah nadhani issue ni HOUSEBOY, ambaye mimi namtetea kwamba ni mwanaume na binadamu sawa na vile mwanaume yeyote njiani , kazini, au popote angejieleza hisia zake kwako
hivi kwani kuolewa ndo mwisho wa kutongozwa?
mbona hii sredi inaanza kugeuka tarabu.
dah haka ka mwaka kameanza vibaya sana. acha tuongeze nizamu. wale maadui wangu naomba msiniripoti bana naahidi kujirekebisha mbele ya sredi hii ya invizibo.
ka dedikesheni kangu kwa maadui zangu ni kale kawimbo ka marehemu maiko jakson kanakosema "heal ze world"
Yaani mimi na wewe hatutamaliza nakuapia!!!
Bwa ha ha ha ha haaaaa.
Ungesema tu ukweli kwamba umengonolewa na house boy wako valuer zilipokuzidia period. Sio kuja na viuongo eti 'house boy kanitongoza'. Kakutongoza my foot!
Kuandamana kwanini tena???
Wewe nakwambia dawa yako ipo jikoni nikukamata utanitambua!!!
Kupinga mahouseboy/mashambaboy kutongoza wake wa mabosi wao LOL!
Halo - Beyoncé | Music Video | VEVO