klorokwini
JF-Expert Member
- Dec 2, 2009
- 8,647
- 5,145
Mkuu unakumbuka hii sredi? Jana nilicheka hadi sina mbavu kabisa! dah
bwa ha ha ha ha haaaaaaa!!!!!
No wonder umetunga kistory kuwa house boy kakutongoza wakati unajua kabisa kakulamba; unatafuta justification ya wewe kulambwa na house boy wako.
Nimepta PM nishagundua janja ya nyani kula hindi bichiiiiiiiiiiiii!!!!! Uwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii Im out of this Ama. Thanks for the PM Mkuu!!!!
Yaani mimi na wewe hatutamaliza nakuapia!!!
bwa ha ha ha ha haaaaaaa!!!!!
No wonder umetunga kistory kuwa house boy kakutongoza wakati unajua kabisa kakulamba; unatafuta justification ya wewe kulambwa na house boy wako.
Yaani mie hata mpango nae sina mume wangu mbona yuko poa sana na tunapendana mno siwezi kumtenda kwa ajili ya houseboy
Wewe na wewe ulikuwa wapi kutoa busara zako kama hizi?? Thanks!!!
Maalimu hapa mtihani nimepata ziro kabisa tena negative siyajui hayo yote mwenzio maana sijamkagua!!!!
Dawa yako hii hapa :shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
Afadhali. Funga domo lako na uchague cha kuandika JF sio viuongo eto 'house bot kanitongoza'. Hapa sio kila upupu unakuwa entertained, ukirudia tena unakomwa giladi mchana kweupe kama hivi.
Maalimu hapa mtihani nimepata ziro kabisa tena negative siyajui hayo yote mwenzio maana sijamkagua!!!!
Kabisa mwaya!!!!