Sawa bossKama unataka mtu wa kumuagiza muda wote na kulea watoto wako kumlipa laki moja kwa mwezi ni utumwa mamboleo, hata kwa hiko kisingizio sijui cha analala na kula kwako. Huyo sio sawa na mtoto wako, mwisho wa siku na yeye anapaswa kuwa na maisha yake ya maana.
Peleka watoto wako Daycare au mpe housegirl hata pesa nusu ya uliyokuwa uwape daycare kutunza watoto wako.Wewe una comment bila kutafakari uhalisia wa maisha ya Mtanzania,unasahau kwamba watu wanahitaji wadada kwa ajili ya kuwasaidia majukumu ya kubaki na watoto wadogo na wazazi wakiwa kazini siyo kupika pekee.
Huyo dada akienda kwenye majukumu mengine nyumba ya jirani,huyo mtoto mdogo atabaki na nani?
Seran
Kuna tofauti, dada zako wanasomeshwa mpaka chuo kikuu wakitaka au kuwezeshwa kupata ujuzi na connections mbalimbali, housegirl yeye atabaki amedumaa kwenye hiyo kazi miaka yote akiishi kwa kusubiria hisani zaidi.Mie nimekulia katika familia ambayo dada wa kazi ni mtoto wa nyumbani, kazi anashirikiana na dada zangu, tofauti kubwa tu ye mwisho wa mwezi anakunja chake anaweka mfukoni.
Wangu mwezi uliopita simu yake ilikufa, nilikuwa nina s10e ina cracks ndani, nikamuuliza kama fresh, akasema poa sana tu, saa hizi anaji selfie tu.
Mtu mwenye mshahara wa laki moja kuajiri housegirl inapaswa kuwa kosa la uhujumu uchumi.Dah,kwahiyo mimi mwenye Mshahara wa laki moja, nikimlipa house maid elfu 80 nitabakiwa na 20!!! Hapo sasa nani atakuwa boss!!
Ila dada wa kazi analipwa, dada zake hawalipwiKuna tofauti, dada zako wanasomeshwa mpaka chuo kikuu wakitaka au kuwezeshwa kupata ujuzi na connections mbalimbali, housegirl yeye atabaki amedumaa kwenye hiyo kazi miaka yote akiishi kwa kusubiria hisani zaidi.
😆 Pole Sana.Niliwahi kuuliza hili swali humu. Nilichapwa makofi ya keyboard sitasahau
Nimeshangaa pia,Kazi za nyumbani zinaisha saa 7 mchana?
Nyie wamama corporate acheni ujanja wenu, kuolewa hata wadada wa Bar wanaolewa tu wakiwa wazuri. Mnamlipia mdada wa watu flight sio kwa sababu mnapenda sana bali kwa sababu mnamuamini zaidi na watoto wenu au msingependa abaki kwenye mjumba peke yake, pia ni kama asali kumbakiza loyal muda mrefu zaidi😁mimi pia! hatujawahi kuwabagua hawa watu wametulea na wameolewa mikononi mwa wazazi wetu!
Hahaahahaa boss mwema! sisi huku mdada unamkatia flight ukitaka kuondoka humuachi nyuma! ndio upendo lakini sio kila mtu anaweza hizo habari ndiomaana mishahara inazidiana!
Wanachoshindwa kuelewa ubovu wa mishahara haupo kwa wadada tu, huu ni mfumo upo kila sehemu kuanzia huko serikaliniNimeshangaa pia,
Ndio huo ujira wa manamba unaolalamikiwa hapa.Ila dada wa kazi analipwa, dada zake hawalipwi
Serikalini hata kama mshahara mdogo watu wanafanya kazi masaa nane tu au pungufu, kuna overtime, posho za hapa na pale nje ya mshahara na upigaji kila kona. Unakuta dereva analipiwa laki nane tu kwa mwezi ila ana nyumba yake, gari lake na pesa ya kuhonga michepuko!Wanachoshindwa kuelewa ubovu wa mishahara haupo kwa wadada tu, huu ni mfumo upo kila sehemu kuanzia huko serikalini
Una dada wa kazi?Serikalini hata kama mshahara mdogo watu wanafanya kazi masaa nane tu au pungufu, kuna overtime, posho za hapa na pale nje ya mshahara na upigaji kila kona. Unakuta dereva analipiwa laki nane tu kwa mwezi ila ana nyumba yake, gari lake na pesa ya kuhonga michepuko!
Swali lako litajibiwa mwisho kabisa wa huu mjadala.Una dada wa kazi?
Sawa serikalini hawafanyi kazi hadi usiku ila kuna kuajiriwa na watu binafsi mfano kukaa dukani saa 2 asubuhi hadi saa 3 usiku mshahara ukiwa mwingi sana 250kSwali lako litajibiwa mwisho kabisa wa huu mjadala.
Unajua kuna kazi mtu hata akilipwa kidogo kujiongeza ni rahisi sana. Mfano mtu anayeuza duka la dawa anaweza kujiongeza akawa anauzia dawa zake binafsi hapo hapo kwenye duka la boss wake. Wengine pia wanataka walipwe commission kulingana na mauzo(ni rahisi zaidi kudai nyongeza ya mshahara au commission dukani kwa sababu tofauti ya mauzo inaonekana). Pia kama ni duka kubwa sana lenye bidhaa mchanganyiko na mauzo makubwa mtu akichomoa hata elfu kumi kila siku boss hatakaa ajue wala hakuna shoti yoyote itaonekana.Sawa serikalini hawafanyi kazi hadi usiku ila kuna kuajiriwa na watu binafsi mfano kukaa dukani saa 2 asubuhi hadi saa 3 usiku mshahara ukiwa mwingi sana 250k
Wapo waliopelekwa ufundi cherehani.. wapo dada zangu pia waliboronga shule wakapelekwa kozi, hakuna utofauti..Kuna tofauti, dada zako wanasomeshwa mpaka chuo kikuu wakitaka au kuwezeshwa kupata ujuzi na connections mbalimbali, housegirl yeye atabaki amedumaa kwenye hiyo kazi miaka yote akiishi kwa kusubiria hisani zaidi.
Basi kuna vijana wako wanategemea uwalipe waje kujenga sijui! wakati ni kazi ya kujikimu baadhi ya vitu tu!Kazi ya Housegirls kwa mfumo wa inavyofanyika Tanzania popote pale duniani ni utumwa tu, ni kazi mtu anafanya asife njaa tu baada ya kukosa au kushindwa kazi nyingine zote. Ni kazi ambayo hata mtu kujiendeleza ni vigumu sana.
Tena wangu nilimpeleka mwaka mzima na bado alirudi kwao! we unafanya sehemu yako ingine muachie yeye!Wapo waliopelekwa ufundi cherehani.. wapo dada zangu pia waliboronga shule wakapelekwa kozi, hakuna utofauti..
uko sahihi kama tu hakuna majukumu mengine, wengi wao wanamaliza majukumu saa 4 wanakaa kwenye tv tu, sema tu kwa akili za mabinti wengi atakuwa anajisahaulisha majukumu yake na kujali biashara yake! inahitaji mtu anayejitambua sana! tofauti na hapo atalipulipua sana!Wewe una comment bila kutafakari uhalisia wa maisha ya Mtanzania,unasahau kwamba watu wanahitaji wadada kwa ajili ya kuwasaidia majukumu ya kubaki na watoto wadogo na wazazi wakiwa kazini siyo kupika pekee.
Huyo dada akienda kwenye majukumu mengine nyumba ya jirani,huyo mtoto mdogo atabaki na nani?
Seran