Mc Tilly Chizenga
JF-Expert Member
- Feb 7, 2012
- 4,641
- 3,680
Wewe badala ya kushauri unaanza kuuliza tarehe za kuzaliwa, wewe ni Mganga wa kienyeji? Halafu ukishajua ndo utazame kwenye tunguli halafu utoe ushauri aaaaa wapi na wapi hapo?
ok well,kwa hiyo ktk yote niliyosema wewe umeona la tarehe tu?hujaona kingine chochote kinachoweza kuwa muhimu kama ushauri?nikusaidieje kama mambo mepesi unashindwa kuyaona...utaweza mambo ya mahusiano yanayohitaji busara na akili za hali ya juu?
nakuuliza swali lingine!umeishi na baba yako mpaka wakati unaoa?nataka nijue mchango wa mzazi wako wa kiume ktk malezi yako!niwe wazi tu ndugu yangu.....umepungukiwa sana qualities za kiume!no offence
Ndo hapo sasa Kaunga...Total confusion of minds in the continent called Africa. I can't believe what we think when we allow ourselves to sleep with housegirls...I mean how is it possible when you stay with the family in the same house? Duuuh!
Wiyelele piga magoti usali.,,Mungu akuonyeshe cha kufanya.Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Mi simfukuzi HG wangu na sio kwamba kwa vile ni HG ni mtoto la hasha! Ana miaka 30! Kuhusu mke wangu, anadanganyika na elimu aliyonayo ambayo inampa kiburi. Mi namzidi kiwango cha elimu lakini ana nyodo za ajabu! Nikiwa narudi home (kwa vile yeye anatangulia kurudi) kila apigapo simu unakuta first question "UKO WAPI?) sasa utasema anaakili timamu huyu? Halafu sawa nikifika unamkuta amejikali kwenye TV kama mshamba! Haniwekei chakula mezani except huyu HG! Sasa mke huyu wa nini wewe?
Ukiangalia uandishi wa huyu jamaa nimeona kama anafanya mchezo hapa hana lolote kupoteza tu wakati
Inawezekana kabisa Dena Amsi. Maana naona fahari kuutangazia ulimwengu ubaya wa mke wake...sasa nani hapo mwenye matatizo? Kwani bado tunalazimishwa kuoa tu hata tusiowapenda?
wakati unamwoa huyo mkeo, naye alikuwa mzuri tu kama unavyomwona HG wako sasa.
umepofushwa macho na tamaa zako mbaya......jaribu uone moto wake,
baada ya miaka 4, HG wenu(wewe na HG1) naye atakuwa mzuri kuliko HG1(-hg wa sasa, na mkeo wa wakati huo)
Inawezekana kabisa Dena Amsi. Maana naona fahari kuutangazia ulimwengu ubaya wa mke wake...sasa nani hapo mwenye matatizo? Kwani bado tunalazimishwa kuoa tu hata tusiowapenda?
Ama majani ndo yanazungumza ha ha ha Ndahani ulimswanu wewe???
Teh teh teh....aaah umejuaje mi mgogo? Au uliona jina langu kule NEC?
Housegirl anajeweka sokoni so she can have her own, she cant beki 3 u 4ever!
Nimeona jina la NEC..................usijali sana bana .....................
Kweli vijana wa siku hizi tabu tupu
Ndo hapo sasa Kaunga...Total confusion of minds in the continent called Africa. I can't believe what we think when we allow ourselves to sleep with housegirls...I mean how is it possible when you stay with the family in the same house? Duuuh!