Bahati mbaya ni kwamba binadamu (kwa maana ya jinsia zote) huwa wanaridhika wakiwa na kitu na hujua kwamba kilikuwa muhimu kwao pale kinapoondoka. Sasa kwa ushauri wangu, leo hii ukimuacha mkeo na ukamchukua HG bado baada ya mwaka mmoja utakuja hapa kusema naye amekuwa na tabia kama za mkeo wa sasa. Kwahiyo mi nafikiria cha kufanya ni kukaa chini na mkeo na kumweleza kuwa tabia yake haikuvutii na inakuput down sana kiasi cha kufikiria kumuacha. Mpe muda wa kujirekebisha kabla hujafikiria any other actions.Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Mi nitaishia hapa kwa HG tu and that line of chain you have indicated is your own imagination. We sail through various waves before we finally get settled and that is the moment i am now going through!
Jamii itanielewa tu, kama haielewi is not my issue. The issue here is my sustained happiness.
Bahati mbaya ni kwamba binadamu (kwa maana ya jinsia zote) huwa wanaridhika wakiwa na kitu na hujua kwamba kilikuwa muhimu kwao pale kinapoondoka. Sasa kwa ushauri wangu, leo hii ukimuacha mkeo na ukamchukua HG bado baada ya mwaka mmoja utakuja hapa kusema naye amekuwa na tabia kama za mkeo wa sasa. Kwahiyo mi nafikiria cha kufanya ni kukaa chini na mkeo na kumweleza kuwa tabia yake haikuvutii na inakuput down sana kiasi cha kufikiria kumuacha. Mpe muda wa kujirekebisha kabla hujafikiria any other actions.
ndo maana nataka HG anitibu
ujue ni kwanini unasema mkeo ni mbaya ni kwa sababu 2 umeisha muona hg wako anafaa zaidi kuliko huyo mkeo na pia kuhusu kupokelewa na mambo mengine inategemea na mlivyo zoeshana ;kwa ushauri 2 nikukaa chini mwambie mkeo unapo pata mda mke wangu uwe unaniandalia chakula cku moja moja na kunifanyia mambo mengine naimani utamuona anafaa kuliko hata huyo hg wako
But umewahi kuzungumza naye kuhusu suala hilo?Nimemvumilia sana for 4 solid years! Kama hajabadilika arudi kwao wakamfanyie tena kitchen party
Nimemvumilia sana for 4 solid years! Kama hajabadilika arudi kwao wakamfanyie tena kitchen party
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Tena mngeongozana,wakati yeye anarudi kwao nawe urudi kwa wazee wako ukaombe mafunzo ya jandoni. Mwanaume hueleweki! Mara ex,mara Hg huyo mkeo ulilazimishwa kumuoa?
Mke wangu hana tabu coz yeye halalamiki, mwenye tabu ndo nalalamika Ennie
Tabu anayo hasa! Imagine unaishi na mtu ambaye anaku compare na kila anayekutana naye barabarani na muda wote anafikiria yupi aku replace. Hapo hata ufanye wema wa mshumaa hautaonekana mara zote yako makosa tu.