Naona unafanana na mke wangu kwa majibu hayo. Ningekuolea HG wawili nikukomeshe.
Sina house boy, wa nini kwangu?
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Oya kamanda, piga chini hilo vuvuzela unaloita mke, chukua HG huyo atakufaa.
nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu hg, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Hahahahaaa, umenichekesha hapo kwenye DSTV, anyway what sisi kama watu wa pembeni tunaweza kushauri ni possibilities za kusolve matatizo lakini kwenye kuamua kama mahusiano yanaendelea ama la hapo jukumu linakuwa kwako zaidi. Ila tu ushauri wangu mimi ni kwamba ungejaribu yoote na kama yakiisha ndio unyanyue mikono juuSeveral times, hata tukihusisha ndugu na wazazi wake. I have exploited all means....all she loves is watching DSTV. Labda niiondoe hiyo TV? Je akihamia kwa jirani coz nae ana TV?
si ndo maana nataka nitulie? Hapo umepatia ndio...
Hahahahaaa, umenichekesha hapo kwenye DSTV, anyway what sisi kama watu wa pembeni tunaweza kushauri ni possibilities za kusolve matatizo lakini kwenye kuamua kama mahusiano yanaendelea ama la hapo jukumu linakuwa kwako zaidi. Ila tu ushauri wangu mimi ni kwamba ungejaribu yoote na kama yakiisha ndio unyanyue mikono juu
Mkuu, kila nikiangalia nahisi kama huyu mkeo (nisamehe ntatumia neno baya kidogo) ni limbukeni flani au maisha aliyokulia hayakumpa previleges anazopata sasa so inamfanya achanganyikiwe asijue nini kinampasa kufanyaHapa macho yamefika shingoni mkuu! What i plan is may be i should start by removing the TV set. Kwa vile sins flat screen, nitasema naiondoa ili tulete mpya halafu iwe kimyaaa. Mwache hata akihamia kwa jirani atakua kajifukuzisha mwenyewe.
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
mchane live mkeo had apate wivu. af jifanye huna habari nae. ukileta zawad unaleta ya familia yani watoto na HG. kama outing unawatoa watoto na HG. then unakuwa unamuachia maagzo HG kuwa unataka kula nin au unapenda watoto wale nini. uktaka kufanyiwa kaz km kufua au kunyoosha usimwambie mkeo, mpe HG moja kwa moja na mkeo anaona. then after week anza kumsifia HG kwa mkeo mkiwa wawili kuwa anafanya kaz vzuri na ana adabu hvyo unapendekeza aongezewe mshahara. na wakat mnaongea hakikisha una zawad 2 zinazofanana na mwambie hii yako na hii ya HG. then mwambie mkeo unataka uombe likzo uende nyumbani kwa wazaz au mbuga za wanyama na watoto na HG yeye alinde nyumba ataenda awamu ijayo, akikuuliza kwanin muende na HG, mwambie ili awe ananisaidia kuniandalia nguo nk km anavyofanya hapo nyumbani then.... ntaendelea bdae
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Mkuu, kila nikiangalia nahisi kama huyu mkeo (nisamehe ntatumia neno baya kidogo) ni limbukeni flani au maisha aliyokulia hayakumpa previleges anazopata sasa so inamfanya achanganyikiwe asijue nini kinampasa kufanya
Nimepata ushauri na nashukuru kwa wale wote walionipa ushauri wa kuachana na ex-girlfriend ambaye kwa sasa ni mke wa mtu (japo bado kinaniuma anavyoteswa). Lakini tatizo linalobaki ni kwamba mke wangu bado yupo. Kwa vile yeye anawahi kurudi job, nikifika wala hastuki - hanipokei mizigo! Nguo hajawahi kunifulia na kila kitu kama kunyoosha nguo zangu (na zake), kupika, kung'arisha viatu vyangu anafanya housegirl ambaye tumekaa nae miaka karibu 4.
Watu wengi wakimuona huwa wanamheshimu kuliko mke wangu kutokana na upole na urembo wake. Mke wangu ni kinara wa kuchonga maneno! Kila siku ni ugomvi tu na hana shukrani. Huyu HG, ni mzuri kuliko mke wangu. Nimemlea na anapendeza mtoto wa watu akipita anaita vilivyo. Naona ni vema mke wangu ampishe huyu housegirl. Naomba ushauri nifanyeje jamani maana housegirl anavyong'ara itaniuma akienda kwa mtu mwingine.
Kwa kuangalia thread hii na ile nyingine kuhusu ex-wako, naona tatizo liko kwako wewe, na sio mkeo !!
Iko hivi:-
- Wewe ndio mwenye matatizo. Unataka ufuliwe nguo, upikiwe, upokelewe mzigo, n.k. Sasa wewe umeshawaki kufanya hayo yote kwa mkeo ??
- Unamtamani house girl wako kwa kumlinganisha na mkeo kwa sababu tu anakufulia nguo !! Siku house girl naye akiacha kufua nguo utamwonaje??
- Inaelekea wewe bado hujaweza 'kumuweka sawa' mkeo. Jifunze mbinu mbali-mbali za kumridhisha mkeo, ukiweza hapo utakuwa umetoa 'huduma' nzuri sana kwa mkeo, naye automatically ataanza kutoa huduma unazohitaji (kufuliwa nguo, n.k.).
- Umegusia kuhusu mkeo kupenda sana kuangalia DSTV. Huu sasa ndio 'mwanya' mzuri wa 'kumuweka sawa'. Karibiana naye kwenye kuangalia DSTV, halafu mkimaliza kuangalia pamoja utaona kama hata huyo house girl utamuangalia tena !! (unaelewa ??)
- Jifunze kutoa 'huduma' mbali-mbali kwa mkeo. Hapa JF kuna jukwaa la kufundishana maswala hayo !!
- Usijikweze mbele ya mkeo. Kujikweza hakusaidii lolote. Jishushe ili uwe naye sambamba, halafu utaona matokeo mazuri hivi karibuni, yaani utafaidi sana 'kila kitu' (..... pamoja ma kufuliwa nguo na kupokelewa mzigo unaporudi toka kazini).
- Kaa karibu sana na mkeo, utamuona jinsi alivyo 'moto' , anang'aa kuliko yeyote yule.