Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

gallow bird

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2024
Posts
14,889
Reaction score
18,593
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege

Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel

Shirika la Wahouthi lilisema Jumapili usiku kuwa linajipanga kuweka “marufuku ya jumla ya anga” dhidi ya Israel kwa kuendelea kulenga viwanja vya ndege vya nchi hiyo.

Mapema asubuhi ya siku hiyo, watu watatu walijeruhiwa kwa kiwango kidogo kutokana na kombora lililovurumishwa na kundi hilo kutoka Yemen na kuanguka karibu na eneo la Terminal 3 la Uwanja wa Ndege wa Ben-Gurion.

Soma pia: Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

===============
The Houthi terrorist organization said on Sunday night that they are working on imposing a "comprehensive air blockade" on Israel by repeatedly targeting the country's airports.

Three people were mildly wounded earlier that morning as a result of a missile fired by the Yemen-based terror group that crashed in the area of Ben-Gurion Airport's Terminal 3.

The IDF's failure to intercept the missile was due to a technical error, Israeli military sources told The Jerusalem Post.

Houthi military spokesman Brig.-Gen. Yahya Saree posted on Telegram that the missile strike was in response to expand its operations against Hamas in the Gaza Strip. The decision to expand operations was agreed upon by the Israeli security cabinet on Friday night. Several IDF reserve brigades will be mobilized for the operation's expansion.

Source: Jerusalem Post
 
Back
Top Bottom