Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

Hizbullah nao ilikuwa hivyo hivyo waliishambulia Israel karibu Miezi 8 mfululizo bila Israel kujibu ikiwasihi waache huo ujinga mpaka pale walipanza kujibiwa na Leo hii hata kusikika tu hatuwasikii na ikitokea kombora limerushwa kutoka Lebanon wao ( Hizbullah) ndio wa kwanza kukimbilia kwenye vyombo vya habari kukanusha kwamba sio wao.
Israel haikujibu!?..nyi watu taarifa huwa mnachukua wapi?.. israel alipeleka wanajeshi wenye uzoefu mpaka na lebanon alipopeleka vikosi Gaza na walikua wakishambulia kila siku mpaka walipoamua kuingia rasmi wakakwama
Halafu hizbullah hakushindwa vita,rejea vyanzo vyako vizuri
 
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege

Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion, sidhani kama kuna ndege itaeanda israel

Shirika la Wahouthi lilisema Jumapili usiku kuwa linajipanga kuweka “marufuku ya jumla ya anga” dhidi ya Israel kwa kuendelea kulenga viwanja vya ndege vya nchi hiyo.

Mapema asubuhi ya siku hiyo, watu watatu walijeruhiwa kwa kiwango kidogo kutokana na kombora lililovurumishwa na kundi hilo kutoka Yemen na kuanguka karibu na eneo la Terminal 3 la Uwanja wa Ndege wa Ben-Gurion.

Soma pia: Houthi watangaza kushambulia uwanja wa ndege ben gurion israel na meli vita ya marekani

===============
The Houthi terrorist organization said on Sunday night that they are working on imposing a "comprehensive air blockade" on Israel by repeatedly targeting the country's airports.

Three people were mildly wounded earlier that morning as a result of a missile fired by the Yemen-based terror group that crashed in the area of Ben-Gurion Airport's Terminal 3.

The IDF's failure to intercept the missile was due to a technical error, Israeli military sources told The Jerusalem Post.

Houthi military spokesman Brig.-Gen. Yahya Saree posted on Telegram that the missile strike was in response to expand its operations against Hamas in the Gaza Strip. The decision to expand operations was agreed upon by the Israeli security cabinet on Friday night. Several IDF reserve brigades will be mobilized for the operation's expansion.

Source: Jerusalem Post

Hii ni "mbombo ngafu fijo"
 
Hii iliishiaga wapi?
 
yemen itakapo geuzwa kifusi kama gaza ndipo utafunga Domo lako.
ww hujui Kuna viongozi wakubwa Ndani ya serkali ya Yemen ni fifth column....
USA asingeomba yaishe,na wametumia zaidi ya $1b
 
HEZB0LAAH awajashindwa vita usiamini propaganda kilichotokea kipo ivi Hezbollah walikuwa wanapiga maeneo ya Kijesh seem tofaut miji tofaut !!!

Israel baada y kugundua awezi kuzuiya ayo Makombora ya Hesbollah na tena walichapwa kusini ya Labanon walipojalibu kujisogeza ndani ndani walipo hezbollah wakatoka mbioo, !!!

Israel ikaja na mpango wakutaka mji wa Beiruti uwe kama Gaza !!!!

na ayakuwa maneno tupu vitendo vikaanza tukaona Magorofa Apartment kubwa zikishushwa Mjini !!!!

Ali iyo ilipodhidi ndipo Shinikizo likadhidi kutoka Serikali kuwataka Hezbollah itafutwe Aman..!!!!

Inasemekana Iran ikawapa ruusa ya kusitisha Vita hezbollah mpaka apo tayali Iran alikuwa na plan B !!!

Serikali ya Labonon ndio ikafunga Mkataba kwaniaba ya hezbollah... !!

kwanini walifanya ivyo Hezbollah awakujua kama adui anaweza kuyatumia Majengo kama Shabaaa ya kivita !!!

je imeisha vip Iran ilipata wazo jipya Badala ya kuitumia Lebanon wakaamua wataitumia Yemen japo mbali!!!!

kwanza ipo mbali na Israel ivyo adui atoweza kupata uraisi wa kupiga Shabaa zake !!!

cha pili Yemen akuna mejengo ya kufanana na ya Lebanon ndio mana utasikia tu imepigwa Bandari !!!

baada ya 1week utasikia tena imepigwa Bandari iyo Bandari kwasasa ishapigwa mala 16!!!

3 wao Yemen wanayo Makombora ya kutoka kwao na kupiga popote ndani ya Israel,,, !!!!

tofaut na Israel yeye utegemea ndege zaid kupiga target za mbaliiii

kwaiyo hezbollah awajashindwa vita kilichofanywa ni kuamisha Uwanja wa vita kutoka Lebanon na sasa ni YEMEN. MASTER PLAN NI YUL YULE IRAN
Nyie ndo mnawaponza wenzenu wabondwe
Huku mkifanya uchambuzi wenu maandazi
Yule madevu kiongozi wa hizbolah alikatwa ndevu na Israel akiwa kwenye kambi ya kijeshi au majengo ya raia ???
 
Back
Top Bottom