Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

Hawa Houthi wanajidai wako mbali, ngoja tuone kama watatandikwa au watasamehewa.
HEZB0LAAH awajashindwa vita usiamini propaganda kilichotokea kipo ivi Hezbollah walikuwa wanapiga maeneo ya Kijesh seem tofaut miji tofaut !!!

Israel baada y kugundua awezi kuzuiya ayo Makombora ya Hesbollah na tena walichapwa kusini ya Labanon walipojalibu kujisogeza ndani ndani walipo hezbollah wakatoka mbioo, !!!

Israel ikaja na mpango wakutaka mji wa Beiruti uwe kama Gaza !!!!

na ayakuwa maneno tupu vitendo vikaanza tukaona Magorofa Apartment kubwa zikishushwa Mjini !!!!

Ali iyo ilipodhidi ndipo Shinikizo likadhidi kutoka Serikali kuwataka Hezbollah itafutwe Aman..!!!!

Inasemekana Iran ikawapa ruusa ya kusitisha Vita hezbollah mpaka apo tayali Iran alikuwa na plan B !!!

Serikali ya Labonon ndio ikafunga Mkataba kwaniaba ya hezbollah... !!

kwanini walifanya ivyo Hezbollah awakujua kama adui anaweza kuyatumia Majengo kama Shabaaa ya kivita !!!

je imeisha vip Iran ilipata wazo jipya Badala ya kuitumia Lebanon wakaamua wataitumia Yemen japo mbali!!!!

kwanza ipo mbali na Israel ivyo adui atoweza kupata uraisi wa kupiga Shabaa zake !!!

cha pili Yemen akuna mejengo ya kufanana na ya Lebanon ndio mana utasikia tu imepigwa Bandari !!!

baada ya 1week utasikia tena imepigwa Bandari iyo Bandari kwasasa ishapigwa mala 16!!!

3 wao Yemen wanayo Makombora ya kutoka kwao na kupiga popote ndani ya Israel,,, !!!!

tofaut na Israel yeye utegemea ndege zaid kupiga target za mbaliiii

kwaiyo hezbollah awajashindwa vita kilichofanywa ni kuamisha Uwanja wa vita kutoka Lebanon na sasa ni YEMEN. MASTER PLAN NI YUL YULE IRAN
 
Kwa sasa huwezi kuona ALJEZEERA wakionyesha wa mama na watoto ila baada ya siku 21 zijazo,utaona wakionyesha picha za wa mama na watoto. Huu ni moto
Hawana jipya kama wameshindwa kwa miaka miwili hakuna wanachoweza wazayuni mifumo yao ya ulinzi hamna kitu watu wanajipigia tu
 
Hata Hezbollah walikuwa hivi hivi
Huja unachojua , au hujui huu mwaka wabpili israel na marekani wanahangaika na houthi na kazuia red sea hadi leo na bado anatuma vyuma kilomita karibia 2000 na vinazama hadi airport, mifumo yao yote ya ulinzi thaad na takataka zao hazijawasaidia
 
Mjadala hapa ulipaswa kuwa air defence system kushindwa kabisa kuzuia hayo makombora.m sio kurevenge kwa houth. Hii inaleta hofu kubwa ya usalamq kwa Israel nq raia wake. Ndio mqqna wengi wanauraia wa nchi nyingi maana hapa kaliki. Tena ukizingatia juzi Irqn kazinduq kombora lingine ambalo huwezi hata kulitrack na halizuiliki hata na most expensive ADS Thaqd ya US.

Sio habari nzuri kwa IDF, Nashauri US awafute Houth mapema kabla pembe hazijakomaa.
 
Netanyahu somo alilofaulu vizuri ni kuchokoza watu na kukimbilia kwenye mahandaki kama yule mnyama Kasongo Yeye, sahivi yupo kwenye mahandaki anachungulia tu
Gaza na Hezbollah wakiona comment yako juu ya Ben watakushangaa.
 
Wahouthi ni roho ya paka. Saudi Arabia alijifanya kuingia kupambana nao, mwisho wa siku akaona isiwe tabu. Akakaa pembeni.
Marekani na ubabe wake wote ameshapoteza ndege zake za kutosha tu zisizo na rubani, na za gharama kubwa! Baada ya kutunguliwa na hao wahuni.

Kwa Mayahudi na kaka yake Marekani, njia pekee ni ya kuwashambulia hao jamaa ni ya anga tu. Wakijaribu kupeleka wale askari wao mdebwedo, wote watachakazwa ndani ya muda mfupi.
 
HEZB0LAAH awajashindwa vita usiamini propaganda kilichotokea kipo ivi Hezbollah walikuwa wanapiga maeneo ya Kijesh seem tofaut miji tofaut !!!

Israel baada y kugundua awezi kuzuiya ayo Makombora ya Hesbollah na tena walichapwa kusini ya Labanon walipojalibu kujisogeza ndani ndani walipo hezbollah wakatoka mbioo, !!!

Israel ikaja na mpango wakutaka mji wa Beiruti uwe kama Gaza !!!!

na ayakuwa maneno tupu vitendo vikaanza tukaona Magorofa Apartment kubwa zikishushwa Mjini !!!!

Ali iyo ilipodhidi ndipo Shinikizo likadhidi kutoka Serikali kuwataka Hezbollah itafutwe Aman..!!!!

Inasemekana Iran ikawapa ruusa ya kusitisha Vita hezbollah mpaka apo tayali Iran alikuwa na plan B !!!

Serikali ya Labonon ndio ikafunga Mkataba kwaniaba ya hezbollah... !!

kwanini walifanya ivyo Hezbollah awakujua kama adui anaweza kuyatumia Majengo kama Shabaaa ya kivita !!!

je imeisha vip Iran ilipata wazo jipya Badala ya kuitumia Lebanon wakaamua wataitumia Yemen japo mbali!!!!

kwanza ipo mbali na Israel ivyo adui atoweza kupata uraisi wa kupiga Shabaa zake !!!

cha pili Yemen akuna mejengo ya kufanana na ya Lebanon ndio mana utasikia tu imepigwa Bandari !!!

baada ya 1week utasikia tena imepigwa Bandari iyo Bandari kwasasa ishapigwa mala 16!!!

3 wao Yemen wanayo Makombora ya kutoka kwao na kupiga popote ndani ya Israel,,, !!!!

tofaut na Israel yeye utegemea ndege zaid kupiga target za mbaliiii

kwaiyo hezbollah awajashindwa vita kilichofanywa ni kuamisha Uwanja wa vita kutoka Lebanon na sasa ni YEMEN. MASTER PLAN NI YUL YULE IRAN
Una jielewa kweli we mvaa kobazi?
 
mwaka wa pili unaenda bado wanapiga israel kila siku marekani anahangaika kuwapiga wanaume bado wapo kazini leo wamepiga airport na anga wamefanikiwa kuifunga defence system za israel zimefeli kuzuia
Matumaini hewa. Ila kelele za wanawake na watoto hazitakiwi kabisa hapo baadaye. Maana Kuna wanaume mziki ukikolea hawachelewi kivaa ijabu ili wahesabiwe kuwa wanawake wameuwawa
 
Wahouthi ni roho ya paka. Saudi Arabia alijifanya kuingia kupambana nao, mwisho wa siku akaona isiwe tabu. Akakaa pembeni.
Marekani na ubabe wake wote ameshapoteza ndege zake za kutosha tu zisizo na rubani, na za gharama kubwa! Baada ya kutunguliwa na hao wahuni.

Kwa Mayahudi na kaka yake Marekani, njia pekee ni ya kuwashambulia hao jamaa ni ya anga tu. Wakijaribu kupeleka wale askari wao mdebwedo, wote watachakazwa ndani ya muda mfupi.
Kwani wahuthi nao wametumia nini kushambulia Israel si anga pia?. Sauti itasikiwa kutoka Yemen kuwa watoto na wanawake wamekufa
 
Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege

Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion,sidhani kama kuna ndege itaeanda israel

Shirika la kigaidi la Houthi lilisema Jumapili usiku kuwa linajipanga kuweka “marufuku ya jumla ya anga” dhidi ya Israel kwa kuendelea kulenga viwanja vya ndege vya nchi hiyo.

Mapema asubuhi ya siku hiyo, watu watatu walijeruhiwa kwa kiwango kidogo kutokana na kombora lililovurumishwa na kundi hilo kutoka Yemen na kuanguka karibu na eneo la Terminal 3 la Uwanja wa Ndege wa Ben-Gurion.
===============
The Houthi terrorist organization said on Sunday night that they are working on imposing a "comprehensive air blockade" on Israel by repeatedly targeting the country's airports.

Three people were mildly wounded earlier that morning as a result of a missile fired by the Yemen-based terror group that crashed in the area of Ben-Gurion Airport's Terminal 3.

Wana capable airpower ya kufanya hivyo? Au wanaongea out of feelings?
 
Wahouthi ni roho ya paka. Saudi Arabia alijifanya kuingia kupambana nao, mwisho wa siku akaona isiwe tabu. Akakaa pembeni.
Marekani na ubabe wake wote ameshapoteza ndege zake za kutosha tu zisizo na rubani, na za gharama kubwa! Baada ya kutunguliwa na hao wahuni.

Kwa Mayahudi na kaka yake Marekani, njia pekee ni ya kuwashambulia hao jamaa ni ya anga tu. Wakijaribu kupeleka wale askari wao mdebwedo, wote watachakazwa ndani ya muda mfupi.
Kuna kipindi kulikuwa na clip zinatembea za Wanajeshi wa Israel na US waliojifanya kwenda ground Yemen. Kilikuwa ni kikosi cha makomando kama sabini wote walipigwa ambush hakuna aliyerudi hata mmoja.

Lqbda wafanye kama Iraq ingawa hapo Yemen naona hawana maslahi sana.
 
Matumaini hewa. Ila kelele za wanawake na watoto hazitakiwi kabisa hapo baadaye. Maana Kuna wanaume mziki ukikolea hawachelewi kivaa ijabu ili wahesabiwe kuwa wanawake wameuwawa
labda umezaliwa jana hujui hii vita imeanza lini
 
Back
Top Bottom