Nipo serious aliye omba ceasefire sio Hezbullah ni serekali ya Lebanon na USA, Faransa pia Israel we kama unaota Hezbullah kashindwa vita endelea kuota tu.
Hezbullah ni uhuni wa serekali ya Lebanon aliye kuwa Rais wa Lebanon na Rais wa bunge la Lebanon ndio walio deal na USA na France bada ya kuhongwa hongwa wakawa wanamtia pressure Hezbullah akubali kusimamisha vita kwa masharti Israel ata pull out majeshi yake mpaa kwenye ardhi ya mashamba ya Sheba walio yatawala tokea 1967.
US ndio alimukoa Israel afu alivyo mshenzi anaitumia serekali ya Lebanon kuwa banana Hezbullah eti wawape silaha zao, Israel kashindwa zicunja silaha kwa vita wakazivunje kwa njia ya vibaraka wao 😄 🤣