gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
MaaviiNa watadundwa haswa
Yako au yanani!Maavii
Kile chuma cha leo siyo mchezo,kimetifua 25m,upana 30+m,maamae,na unaambiwa hakikua na mzigo wa kutosha,sasa hao houthi,Iran je ana mzigo gani!?Hawa jamaa wamejitahidi san kuutafuta huu ugomvi mpaka wameupata na umekuwa wao rasmi.
mwaka wa pili unaenda bado wanapiga israel kila siku marekani anahangaika kuwapiga wanaume bado wapo kazini leo wamepiga airport na anga wamefanikiwa kuifunga defence system za israel zimefeli kuzuiaNa watadundwa haswa
Yako na mumeo netanyahuYako au yanani!
Unampenda netanyahu eee nenda kaombe Ulio naye au hat uolewe na shamba boy wakeYako na mumeo netanyahu
waache waende kwenye full-blown war ndio tutajua nani mbabe.Kile chuma cha leo siyo mchezo,kimetifua 25m,upana 30+m,maamae,na unaambiwa hakikua na mzigo wa kutosha,sasa hao houthi,Iran je ana mzigo gani!?
Limelima Aka 2 za lami mazayuni leo wamevurugwa vibayaKile chuma cha leo siyo mchezo,kimetifua 25m,upana 30+m,maamae,na unaambiwa hakikua na mzigo wa kutosha,sasa hao houthi,Iran je ana mzigo gani!?
Full blown, brown ni rangiwaache waende kwenye full-brown war ndio tutajua nani mbabe.
Wamama na watoto wa wapi!?.. umeona aljazeera tu,icj,icc,un,uk, spain, ireland etc hujawasikia kuhusu watoto na wamama!?Kwa sasa huwezi kuona ALJEZEERA wakionyesha wa mama na watoto ila baada ya siku 21 zijazo,utaona wakionyesha picha za wa mama na watoto. Huu ni moto
Na Hezbollah ilikuwa hivi hiviHawa jamaa wamejitahidi san kuutafuta huu ugomvi mpaka wameupata na umekuwa wao rasmi.
Hawa Houthi wanajidai wako mbali, ngoja tuone kama watatandikwa au watasamehewa.Na Hezbollah ilikuwa hivi hivi
Wajinga tu! Mbali kupita Uganda( 90 minutes in Enttebe)Hawa Houthi wanajidai wako mbali, ngoja tuone kama watatandikwa au watasamehewa.
Ya Uganda chumvi ilikuwa nyingi ,,Wajinga tu! Mbali kupita Uganda( 90 minutes in Enttebe)
SawaYa Uganda chumvi ilikuwa nyingi ,,