Hahaha yaleyale ya Hezbollah.Kile chuma cha leo siyo mchezo,kimetifua 25m,upana 30+m,maamae,na unaambiwa hakikua na mzigo wa kutosha,sasa hao houthi,Iran je ana mzigo gani!?
Hatua nzuri kama na wewe umeshawatambua hao houthi kuwa ni magaidiShirika la kigaidi la Houthi lilisema
Wale ni spika tu ila ukweli kuna wakubwa wanashindanaHawa jamaa wamejitahidi sana kuutafuta huu ugomvi mpaka wameupata na umekuwa wao rasmi.
HEZB0LAAH awajashindwa vita usiamini propaganda kilichotokea kipo ivi Hezbollah walikuwa wanapiga maeneo ya Kijesh seem tofaut miji tofaut !!!Hawa Houthi wanajidai wako mbali, ngoja tuone kama watatandikwa au watasamehewa.
Hawana jipya kama wameshindwa kwa miaka miwili hakuna wanachoweza wazayuni mifumo yao ya ulinzi hamna kitu watu wanajipigia tuKwa sasa huwezi kuona ALJEZEERA wakionyesha wa mama na watoto ila baada ya siku 21 zijazo,utaona wakionyesha picha za wa mama na watoto. Huu ni moto
Huja unachojua , au hujui huu mwaka wabpili israel na marekani wanahangaika na houthi na kazuia red sea hadi leo na bado anatuma vyuma kilomita karibia 2000 na vinazama hadi airport, mifumo yao yote ya ulinzi thaad na takataka zao hazijawasaidiaHata Hezbollah walikuwa hivi hivi
Gaza na Hezbollah wakiona comment yako juu ya Ben watakushangaa.Netanyahu somo alilofaulu vizuri ni kuchokoza watu na kukimbilia kwenye mahandaki kama yule mnyama Kasongo Yeye, sahivi yupo kwenye mahandaki anachungulia tu
Una jielewa kweli we mvaa kobazi?HEZB0LAAH awajashindwa vita usiamini propaganda kilichotokea kipo ivi Hezbollah walikuwa wanapiga maeneo ya Kijesh seem tofaut miji tofaut !!!
Israel baada y kugundua awezi kuzuiya ayo Makombora ya Hesbollah na tena walichapwa kusini ya Labanon walipojalibu kujisogeza ndani ndani walipo hezbollah wakatoka mbioo, !!!
Israel ikaja na mpango wakutaka mji wa Beiruti uwe kama Gaza !!!!
na ayakuwa maneno tupu vitendo vikaanza tukaona Magorofa Apartment kubwa zikishushwa Mjini !!!!
Ali iyo ilipodhidi ndipo Shinikizo likadhidi kutoka Serikali kuwataka Hezbollah itafutwe Aman..!!!!
Inasemekana Iran ikawapa ruusa ya kusitisha Vita hezbollah mpaka apo tayali Iran alikuwa na plan B !!!
Serikali ya Labonon ndio ikafunga Mkataba kwaniaba ya hezbollah... !!
kwanini walifanya ivyo Hezbollah awakujua kama adui anaweza kuyatumia Majengo kama Shabaaa ya kivita !!!
je imeisha vip Iran ilipata wazo jipya Badala ya kuitumia Lebanon wakaamua wataitumia Yemen japo mbali!!!!
kwanza ipo mbali na Israel ivyo adui atoweza kupata uraisi wa kupiga Shabaa zake !!!
cha pili Yemen akuna mejengo ya kufanana na ya Lebanon ndio mana utasikia tu imepigwa Bandari !!!
baada ya 1week utasikia tena imepigwa Bandari iyo Bandari kwasasa ishapigwa mala 16!!!
3 wao Yemen wanayo Makombora ya kutoka kwao na kupiga popote ndani ya Israel,,, !!!!
tofaut na Israel yeye utegemea ndege zaid kupiga target za mbaliiii
kwaiyo hezbollah awajashindwa vita kilichofanywa ni kuamisha Uwanja wa vita kutoka Lebanon na sasa ni YEMEN. MASTER PLAN NI YUL YULE IRAN
Matumaini hewa. Ila kelele za wanawake na watoto hazitakiwi kabisa hapo baadaye. Maana Kuna wanaume mziki ukikolea hawachelewi kivaa ijabu ili wahesabiwe kuwa wanawake wameuwawamwaka wa pili unaenda bado wanapiga israel kila siku marekani anahangaika kuwapiga wanaume bado wapo kazini leo wamepiga airport na anga wamefanikiwa kuifunga defence system za israel zimefeli kuzuia
Kwani wahuthi nao wametumia nini kushambulia Israel si anga pia?. Sauti itasikiwa kutoka Yemen kuwa watoto na wanawake wamekufaWahouthi ni roho ya paka. Saudi Arabia alijifanya kuingia kupambana nao, mwisho wa siku akaona isiwe tabu. Akakaa pembeni.
Marekani na ubabe wake wote ameshapoteza ndege zake za kutosha tu zisizo na rubani, na za gharama kubwa! Baada ya kutunguliwa na hao wahuni.
Kwa Mayahudi na kaka yake Marekani, njia pekee ni ya kuwashambulia hao jamaa ni ya anga tu. Wakijaribu kupeleka wale askari wao mdebwedo, wote watachakazwa ndani ya muda mfupi.
Hahahaaaaaa kabisaHahaha yaleyale ya Hezbollah.
Wana capable airpower ya kufanya hivyo? Au wanaongea out of feelings?Wahouthi huko Yemen wametangaza mkakati wa kulifunga anga la israel kwa kupiga viwanja vya ndege
Kwa ile shughuli iliyofanywa leo ben gurion,sidhani kama kuna ndege itaeanda israel
Shirika la kigaidi la Houthi lilisema Jumapili usiku kuwa linajipanga kuweka “marufuku ya jumla ya anga” dhidi ya Israel kwa kuendelea kulenga viwanja vya ndege vya nchi hiyo.
Mapema asubuhi ya siku hiyo, watu watatu walijeruhiwa kwa kiwango kidogo kutokana na kombora lililovurumishwa na kundi hilo kutoka Yemen na kuanguka karibu na eneo la Terminal 3 la Uwanja wa Ndege wa Ben-Gurion.
===============
The Houthi terrorist organization said on Sunday night that they are working on imposing a "comprehensive air blockade" on Israel by repeatedly targeting the country's airports.
Three people were mildly wounded earlier that morning as a result of a missile fired by the Yemen-based terror group that crashed in the area of Ben-Gurion Airport's Terminal 3.
Houthis seek ‘air blockade’ by targeting Israel’s airports | The Jerusalem Post
The Yemen-based terror organization "calls upon all international airlines to take into consideration" their plans to target Israeli airports.m.jpost.com
Kuna kipindi kulikuwa na clip zinatembea za Wanajeshi wa Israel na US waliojifanya kwenda ground Yemen. Kilikuwa ni kikosi cha makomando kama sabini wote walipigwa ambush hakuna aliyerudi hata mmoja.Wahouthi ni roho ya paka. Saudi Arabia alijifanya kuingia kupambana nao, mwisho wa siku akaona isiwe tabu. Akakaa pembeni.
Marekani na ubabe wake wote ameshapoteza ndege zake za kutosha tu zisizo na rubani, na za gharama kubwa! Baada ya kutunguliwa na hao wahuni.
Kwa Mayahudi na kaka yake Marekani, njia pekee ni ya kuwashambulia hao jamaa ni ya anga tu. Wakijaribu kupeleka wale askari wao mdebwedo, wote watachakazwa ndani ya muda mfupi.
labda umezaliwa jana hujui hii vita imeanza liniMatumaini hewa. Ila kelele za wanawake na watoto hazitakiwi kabisa hapo baadaye. Maana Kuna wanaume mziki ukikolea hawachelewi kivaa ijabu ili wahesabiwe kuwa wanawake wameuwawa
Maslahi makubwa ni red seaKuna kipindi kulikuwa na clip zinatembea za Wanajeshi wa Israel na US waliojifanya kwenda ground Yemen. Kilikuwa ni kikosi cha makomando kama sabini wote walipigwa ambush hakuna aliyerudi hata mmoja.
Lqbda wafanye kama Iraq ingawa hapo Yemen naona hawana maslahi sana.