Houthi watangaza mkakati kufunga anga la israel

labda umezaliwa jana hujui hii vita imeanza lini
Sahihi kabisa. Kwa hiyo gaza wamebaki wanaume tu maana watoto wamekufa na wanawake. Utoto raha sana. MWARABU kafanikiwa sana kwenye uongo na unafiki
 
Hawa jamaa wamejitahidi sana kuutafuta huu ugomvi mpaka wameupata na umekuwa wao rasmi.
Wamejitahidi kujua wapi penye mshono na wamefanikiwa.
Israel ina kiwanja kimoja tu kikbuwa kinachofanya kazi kila siku.Na kwa vile wanakifikia iko siku watapiga katikati ya uwanja au ndege zikiruka na kutua.
 
Kwa ndege hao houth wameshashindikana. Trump amejaribu hadi akalaumiwa silaha zitaisha zike za kufukukulia mapango zilizobaki ni chache ikitokea vita na china watapata tabu.

Kimsingi hawa jamaa ni wabishi sana.
 
Hujui hata kutumia gobole,unashangaa waliotuma hypersonic missile
Hahaha hujui hata unae mjibu. Labda nikupe intro tu, before sijala shavu private sectors back in the day nimetumikia moja ya taasis za ulinzi na usalama inayo heshimika sana na wananchi, so i know a lot.
 
Baadae wasiseme wanauawa wanawake na watoto pia 🤣🤣🤣🤣. Maana hivyo viwanja wanavyotaka kuvifunga vinatumiwa na wanawak na watoto pia.
 
Mtu wa kuweza kufunga anga la Israel bado hajazaliwa!! Endeleeni tu kujidanganya!!
 
Sasa hivi wafia dini wako full furaha shangwe wakiwapongeza magaidi ila Israel ikianza kujibu mapigo utasikia vilio vya jinai za Israel utawala katili huyu Netanyahuu ataenda motoni wanawake na watoto wanauawa
 
Tayari anasingizia mods wamehariri bandiko lake😀😀
Sikuandika hayo mimi,maneno shirika la houthi siyo yangu,houthi sijawahi waita shirika,halafu uliponukuu 'shirika la ugaidi' sioni kwenye bandiko langu, very possible wewe ni mode na umechezea,na niliweka link tu,lakini sasa kuna maelezo ya makala nzima
 
Sasa hivi wafia dini wako full furaha shangwe wakiwapongeza magaidi ila Israel ikianza kujibu mapigo utasikia vilio vya jinai za Israel utawala katili huyu Netanyahuu ataenda motoni wanawake na watoto wanauawa
Israel kishapiga sana huko,matanki ya mafuta,au mshasahau
 
Maelezo marefu na ya uongo kabisa hakuna ukweli wowote Hezbollah wameshindwa vita na sasa wanachechemea kutokana na kipigo kutoka majeshi ya Israel
 
Wamejitahidi kujua wapi penye mshono na wamefanikiwa.
Israel ina kiwanja kimoja tu kikbuwa kinachofanya kazi kila siku.Na kwa vile wanakifikia iko siku watapiga katikati ya uwanja au ndege zikiruka na kutua.
Hawataweza wanajidanganya sana hawa viumbe
 
HOUTHI WANA HATARI!!!NTAWAPA BIBI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…