Endeleeni kujidanganya tulioko huku midege usiku kucha inaruka na kutua Ben Gulion Houth hawawezi kufunga anga la Israel hata siku mojaMashirika zaidi ya manne likiwemo lufthansa la ujerumani wametangaza kusimamisha safari za ben gurion, houthi walifunga bandari ya israel
Hizbollah kilichomfunga mikono ni shinikizo la serikali kuu kuwashinikiza wasaini makubaliano ya kusitisha vita.Hawa Houthi wanajidai wako mbali, ngoja tuone kama watatandikwa au watasamehewa.
Mkuu Israel washatangaza kujibu kwa wouth na kwa mfadhili wao Iran pia.Sasa hivi wafia dini wako full furaha shangwe wakiwapongeza magaidi ila Israel ikianza kujibu mapigo utasikia vilio vya jinai za Israel utawala katili huyu Netanyahuu ataenda motoni wanawake na watoto wanauawa
Kwanini wasaini au unafikili wamesaini tu bila kuona athari wanayopata kutoka Israel.Hizbollah kilichomfunga mikono ni shinikizo la serikali kuu kuwashinikiza wasaini makubaliano ya kusitisha vita.
Ama hili mmelisahau?
KachezeaMarekani sjui kapatwa na nini huko yemeni sioni akiendelea na vita
These are the major airlines that have suspended service to IsraelEndeleeni kujidanganya tulioko huku midege usiku kucha inaruka na kutua Ben Gulion Houth hawawezi kufunga anga la Israel hata siku moja
Swali Hezbullah mlishinda au US alienda bembeleza sereksli ya Lebanon wasimamishe vita? Hezbullah mpaa time za mwisho alikuwa anarusha Missiles pale Haifa 170 kwanza ingekuwa sio unafiki na Puppet wa USA pale Lebanon kupiga kelele Hezbullah asinge simamisha vita. Yule Nasurlah ni nchi nne zimeshirikiana kumuwa sio Israel peke yake.Na Hezbollah ilikuwa hivi hivi
Upo serious kaka?Swali Hezbullah mlishinda au US alienda bembeleza sereksli ya Lebanon wasimamishe vita? Hezbullah mpaa time za mwisho alikuwa anarusha Missiles pale Haifa 170 kwanza ingekuwa sio unafiki na Puppet wa USA pale Lebanon kupiga kelele Hezbullah asinge simamisha vita. Yule Nasurlah ni nchi nne zimeshirikiana kumuwa sio Israel peke yake.
Hebu fungua app ya flight tracks uangalie kuna ndege ngapi juu ya anga la Israel tangu jana.Mtu wa kuweza kufunga anga la Israel bado hajazaliwa!! Endeleeni tu kujidanganya!!
Nipo serious aliye omba ceasefire sio Hezbullah ni serekali ya Lebanon na USA, Faransa pia Israel we kama unaota Hezbullah kashindwa vita endelea kuota tu.Upo serious kaka?
Daah! Uislamu raha sana. Kwa hiyo na Nassarah kauliwa na nchi nne sio Israel tu? Je Ismail hanniyeh? Je Yhaya Sinwar?Nipo serious aliye omba ceasefire sio Hezbullah ni serekali ya Lebanon na USA, Faransa pia Israel we kama unaota Hezbullah kashindwa vita endelea kuota tu.
Hezbullah ni uhuni wa serekali ya Lebanon aliye kuwa Rais wa Lebanon na Rais wa bunge la Lebanon ndio walio deal na USA na France bada ya kuhongwa hongwa wakawa wanamtia pressure Hezbullah akubali kusimamisha vita kwa masharti Israel ata pull out majeshi yake mpaa kwenye ardhi ya mashamba ya Sheba walio yatawala tokea 1967.
US ndio alimukoa Israel afu alivyo mshenzi anaitumia serekali ya Lebanon kuwa banana Hezbullah eti wawape silaha zao, Israel kashindwa zicunja silaha kwa vita wakazivunje kwa njia ya vibaraka wao 😄 🤣
Kwanza inasemekana ni US ndio kamuwa Nasurlah na hata kama sio US kuna mikono ya nchi nne USA, UK, France na Israel wamehusika kwa kuwatumia vibaraka wao Lebanon.Daah! Uislamu raha sana. Kwa hiyo na Nassarah kauliwa na nchi nne sio Israel tu? Je Ismail hanniyeh? Je Yhaya Sinwar?
Duuu! Na zile pagers vp Sheikh?Kwanza inasemekana ni US ndio kamuwa Nasurlah na hata kama sio US kuna mikono ya nchi nne USA, UK, France na Israel wamehusika kwa kuwatumia vibaraka wao Lebanon.
Yahya Sinwar ni kibahati bahati ndio wamemuwa na pia Inasemekana Egypt ndio kawapa Information sababu alikuwa kaenda Egypt kwa ajili ya mazungumzo ya kusimamisha vita time anarudi wa kawabonyeza Israel.
Haniya kuna washenzi kule Iran waliwatumia kupandikiza bomu sehemu anapo fikia Ismail Haniyah
Israel mnamkuza hana lolote na USA na Europe ndio wanamsaidia.
Pager hapo Israel alitumia nchi za Europe kupandikiza vibomu lakini huo ni ugaidi sio vita pager zinatumiwa kwa malengo ya kuwasiliana.Duuu! Na zile pagers vp Sheikh?
Hapo ndipo utajua sasa kuwa TAQIYYAH wanatumia sana sana kama sehemu ya kupotosha ukweli!!Kwanza inasemekana ni US ndio kamuwa Nasurlah na hata kama sio US kuna mikono ya nchi nne USA, UK, France na Israel wamehusika kwa kuwatumia vibaraka wao Lebanon.
Yahya Sinwar ni kibahati bahati ndio wamemuwa na pia Inasemekana Egypt ndio kawapa Information sababu alikuwa kaenda Egypt kwa ajili ya mazungumzo ya kusimamisha vita time anarudi wa kawabonyeza Israel.
Haniya kuna washenzi kule Iran waliwatumia kupandikiza bomu sehemu anapo fikia Ismail Haniyah
Israel mnamkuza hana lolote na USA na Europe ndio wanamsaidia.
Hizbullah nao ilikuwa hivyo hivyo waliishambulia Israel karibu Miezi 8 mfululizo bila Israel kujibu ikiwasihi waache huo ujinga mpaka pale walipanza kujibiwa na Leo hii hata kusikika tu hatuwasikii na ikitokea kombora limerushwa kutoka Lebanon wao ( Hizbullah) ndio wa kwanza kukimbilia kwenye vyombo vya habari kukanusha kwamba sio wao.Hawa jamaa wamejitahidi sana kuutafuta huu ugomvi mpaka wameupata na umekuwa wao rasmi.
Jihadists ni watu bure kabisa, nyie haohao tena mnarudi na kudai kwamba Marekani na Europe hawana lolote na mara mnawasifia kwamba ndiyo wanawasaidia Israel.Kwanza inasemekana ni US ndio kamuwa Nasurlah na hata kama sio US kuna mikono ya nchi nne USA, UK, France na Israel wamehusika kwa kuwatumia vibaraka wao Lebanon.
Yahya Sinwar ni kibahati bahati ndio wamemuwa na pia Inasemekana Egypt ndio kawapa Information sababu alikuwa kaenda Egypt kwa ajili ya mazungumzo ya kusimamisha vita time anarudi wa kawabonyeza Israel.
Haniya kuna washenzi kule Iran waliwatumia kupandikiza bomu sehemu anapo fikia Ismail Haniyah
Israel mnamkuza hana lolote na USA na Europe ndio wanamsaidia.
Ikiwa US anasema Iran hana uwezo wa kuwapiga afu wakipigwa na Al Houthi wanalia Iran wanawasaidia hahaha, ukanisa noma sana hawaoni ujinga wao wanatazama ya wengine.Jihadists ni watu bure kabisa, nyie haohao tena mnarudi na kudai kwamba Marekani na Europe hawana lolote na mara mnawasifia kwamba ndiyo wanawasaidia Israel.
Strait of Bab al mandeb ambayo ipo red sea angalia wanavyohangaishwa kupita na Houth,asa ipo kubwa kuliko zote Strait of Hormuz ambapo 70% ya nishati duniani inapitia hapo upenuni mwa Iran.Red sea labda aanze na Iran moja kwa moja.