dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis imejibu mapigo baada ya jeshi la Saudia (akishirikiana na jeshi la Yemen linaloungwa mkono na UN) kufanya mashambulizi anga kwenye bandari ya Hodeidah, magharibi mwa Yemen na baadhi ya miji ya kaskazini jana usiku
Houthis imerusha makombora matatu ya balistiki na ndege zisizo na rubani kadhaa ambayo yalipenya ulinzi anga, na kulipua matenki ya mafuta ghafi ya kampuni ya ARAMCO mjini Jazan, kusini mwa Saudi Arabia
Houthis imeongeza kuwa, mlango wa bahari nyekundu unaendelea kufungwa kwa meli zote zinazoenda au kutoka kwenye bandari zilizo magharibi mwa Saudi Arabia
========================================================================
Somo: usianzishe ugomvi wa mawe, kama unaishi nyumba ya vioo