Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na wanashirikiana na Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Huwez kutenganisha watu ambao hawana tofauti...ndio maana hadi kesho Israel na Marekani itasapoti wasunni kuliko Washia...
Naomba unijibu kidogo hapa chini


Kati ya Washia na Zionism wawapi wana misimamo mikali?.
 
Mwanzoni nilipokuwa nasikia wanamgambo wa Hamas, nilidhani wao pia wanatembea na virungu kama wa huku, kumbe wapo full equipped.
Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha, halaf saudia arabia hawana jeshi labda wapate msaada kutoka mataifa mengine
 
Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha,
Wahouthi ni nchi kamili ilikuwa inaiitwa North Yemen, walifanyiwa ulaghai na nchi za kiarabu wakakubali kujiunga na South Yemen, ndio ikawa nchi moja ya Republic of Yemen
Halafu maendeleo yote yakawa yanafanywa South Yemen huku North Yemen ikiachwa masikini ili wawadhibiti washia.
Hiki ndio chanzo cha vita huku wahouthi wakitaka kurudisha nchi yao wenyewe, kwa hiyo tayari walikuwa na kila kitu cha kuweza kujitawala wenyewe na jeshi kabisa, ndio maana mpaka leo wameshindwa kuwamaliza, ni kama wasaudi wanataka kufuta nchi kamili na hiko hakitawezekana
 
Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha, halaf saudia arabia hawana jeshi labda wapate msaada kutoka mataifa mengine
Hapana, si kweli kabisa 😅

Saudi Arabia ina moja ya majeshi makubwa na yenye pesa nyingi zaidi Mashariki ya Kati.

Labda umechanganya na nchi nyingine kama Costa Rica au Iceland - hizo ndizo hazina jeshi.

Jeshi la Saudi Arabia lina nini?

1. Idadi na Bajeti
  • Wanajeshi: ∼250,000 wanajeshi wa kudumu
  • Bajeti: Namba 5 duniani. Inatumia zaidi ya $70 Bilioni kwa mwaka
  • Ni mteja namba 1 wa silaha za Marekani, Uingereza na Ufaransa

2. Majeshi 5 Makuu
1. Jeshi la Kifalme la Nchi Kavu - Matai, magari ya kivita
2. Jeshi la Anga - Ndege za kivita F-15, Typhoon. Ni moja ya bora zaidi
3. Jeshi la Majini - Frigates, meli za kivita katika Bahari Nyekundu na Ghuba
4. Mlinzi wa Taifa - Hii ni muhimu. Inalinda familia ya kifalme na sehemu nyeti
5. Jeshi la Makombora - Lina makombora ya masafa marefu

3. Imepigana Vita
  • Yemen 2015-hadi sasa: Inaongoza muungano wa nchi dhidi ya Wahouthi
  • Gulf War 1991: Ilipigana pamoja na Marekani dhidi ya Iraq
  • Kulinda mipaka: Ina vikosi mipakani na Yemen, Iraq, Kuwait

Kwa nini watu wanafikiri haina jeshi?
1. Inategemea Marekani sana: Ina makubaliano makubwa ya usalama na Marekani. Kambi za kijeshi za US zipo Saudi.
2. Inanunua silaha, sio kutengeneza: 70% ya silaha zake ni za kuagiza.
3. Hakuna sheria ya lazima ya kijeshi - Hakuna "military service" kwa vijana wote kama Misri au Israel.

Muhtasari:
Saudi Arabia = Ina jeshi kubwa + Ina pesa nyingi + Inategemea washirika
Sio haina jeshi. Ni kwamba inapendelea kutumia pesa na diplomacy kuliko kutuma wanajeshi kila mahali.
 
Safi mkiwa sawa kapige Riyadh mi napenda mtu akiingia vitani apige kweli au apigwe.Sitaki mambo ya kusitisha vita.Mtu apigwe au apige.Wanamgambo wa Yemen kazi kwenu
😄😄😄🤣 Walipue ile misikiti Yao wanayo iita takatifu ili wakose mapato ya watalii mahujaji

Hicho ndio ninacho kumsubiri Kwa hamu
 
Wewe kilaza kaa kimya, nilishamalizana na wewe uliekimbia umande ukidhani kujivika ulokole na kutembea na bibilia utaonekana msomi,
Namalizana na huyo mbwiga hata hajui kaandika nini nikimuuliza arudie kusoma alichoaandika



Wewe unatokea mapori ya wapi ?
Ni wasunni gani wanashirikiana na Israel na Marekani ? unajua maana ya kushirikiana au unaongelea falme zilizojitwika umiliki wa hizo nchi kama CCM inavyokupelekesha?
Wewe unajua funders wa Al Qaeda na Taleban miaka yote walikuwa wananchi wa nchi gani ?
Unajua Taleban ni washia au wasunni? na nani kawarudisha pale ?
Al Qaeda wa Syria leo wanashika nchi, unajua kwanini Marekani na Israel wamekubali yaishe ?
Kwamba marekani aliuungana Russia kuzuia al qaeda, hivi unajua kwanini Russia alienda Syria ?
Unajua Bahrain ina washia wangapi kulinganisha wasunni na mpaka leo wanakandamizwa na Saudi?
Twende Yemen, unajua hao washia wa Yemeni wametokea wapi? Ulisha wahi kusikia nchi inaiitwa North Yemen ?
Unajua kwanini Saudi na vibaraka wake walifungia Qatar na bado akatoboa mpaka kuandaa kombe la dunia?
Kama hujui kitu acha kulopolopo kilaza, wewe pambana na siasa za ccm, world geo politics haijadiliwi na ki tecno au oppo
Mkuu MAKEBO kwa heshima na taadhima,na kwa niaba ya wapenda elimu humu jukwaani nakumba sana utupe wewe majibu ya maswali haya uliyomuuliza huyo uliemjibu.
Nimeona Kuna kitu Cha kujifunza hapa ambacho ukweli nilikua sikijui,na natamani kulikua.
Na ikikupendeza unaweza kujibu hapahapa au unaweza kuanzisha thread yake maalumu,pia ukiongeza nyama na nyongeza ya vitu ambavyo naamini wengi hatuvijui.
Nitakushukuru ikiwa utanitag.
Natanguliza shukurani.
 
Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Safi sana toa elimu kwa Hilo kobazi extremist
Hahaha wote hamna mnalojua, rais wa sasa wa Syria Al Jolani ambao Trump amekiri kumsaidia kumpatia silaha hadi kuwa Rais alitumika kuasisi ISIS huko Syria. Na leo hii ndio Rais wa Syria kwa msaada wa USA kwahiyo huwezi tenganisha US na kufadhili magaidi wa Al Qaeda na Islamic State.

Hii hapa article ya BBC ikionyesha link ya Al Sharaa A.K.A Al Jolani alivyoasisi Islamic State huko Syria na nimeweka clip ya Trump akikiri kumsaidia Al Jolani kwa silaha na pesa kukamata madaraka ya Syria.
Screenshot_20260726_150925_Chrome.jpg


View: https://youtube.com/shorts/uTjH6FY_ucg?si=6djqHg_luLhN1xCW

Naomba mniambie sasa kwanini Marekani inafadhili ugaidi wa ISIS na Al Qaeda? Na kuruhusu nchi ya syria kuongozwa na magaidi kwa msaada wao Marekani?
 
Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na
We jamaa ni mweupe sana, kwamba Sunni hawana misimamo mikali hivi unajua Taleban, Islamic brotherhood, Kurds (PKK), Al shabab, Boko Haram, Al Qaeda, ISIS wote ni Sunni Muslims? Je hao sio misimamo mikali? Alafu unasema ndio facts hizo? Nitajie kundi gani la kishia linatisha kuliko hayo niliyotaja?
 
Point yako ni nini hapa? maana japo kuwa kuna washia kwenye serikali ya kisunni na wasunni kwenye serikali ya kishia haimaanishi serikali ni minority
Point yangu ni kwamba katiba zimeshatenganisha madaraka kwa shia, sunni, kurds, Christians n.k kwahiyo unapotosha kudai Washia wanataka madaraka Iraq, Lebanon n.k. mfano shia hawezi kuwa Rais wa Iraq au Lebanon nafasi yao ni waziri mkuu na spika mtawalia sasa wanataka kupindua nini si bora ungesema labda wanataka mabadiliko ya katiba.

Msipotoshe humu
 
Alawi ni Branch ya kishia, ndio maana walikua na sapoti ya Hezbollah na Iran Syria acha kudanganya watu
Kwahiyo Hebzollah inaposaidia Hamas ni hawajui ni sunni? Houthi wanavyosaidia makombora kwa Hamas hawajui kuwa nao ni Sunni? Mnapenda kuleta udini kwenye hamna, Iran inawasaidia mpaka Russia kupambana na Ukraine kwani ni waislam wale? Iran inawasaidia serikalinya Sudan kupambana na magaidi wa RSF kwani ni washia wale?

Acheni kulazimisha hii vita kuwa ya kidini
 
Uislamu + uarabu =uanithi wa akili

Kwaiyo na wale waliouwawa kwa jina la YESU na Biblia yake tuwachukuliaje

Uganda Mchungaji Joseph kibweteere kawauwa kikondoo kanisani mia900 uku wakiimba Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU YESU YESU Aleluyaaaaa wakafa kikondoo je wale tuwaitqje???

Kenya Mchungaji Paul Makenzie kawauwa kikondoo mia 700 kwanjaaa ili waende kwa Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa 😜😜 Je awa tuwaitqje kwenye Dunia ya leo?????

Wale Wasabato masalia waliotaka kwenda Mataifa ya mbali kwa ndege na wakafika Airport ya Dar es Sallam cha kushangaza❗️
mkononi wana Biblia tu na mifuko ya Kande😜😜 nawao tuwaiteje✍️✍️
 
Kwaiyo na wale waliouwawa kwa jina la YESU na Biblia yake tuwachukuliaje

Uganda Mchungaji Joseph kibweteere kawauwa kikondoo kanisani mia900 uku wakiimba Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU YESU YESU Aleluyaaaaa wakafa kikondoo je wale tuwaitqje???

Kenya Paul Makenzie kawauwa kikondoo mia 700 kwanjaaa ili waende kwa Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa 😜😜 Je awa tuwaitqje kwenye Dunia ya leo?????

Wale Wasabato masalia waliotaka kwenda Mataifa ya mbali kwa ndege na wakafika Airport ya Dar es Sallam cha kushangaza❗️
lkn mkoloni wana Biblia tu na mifuko ya Kande😜😜 nawao tuwaiteje✍️✍️
Mbona nilisha elezaga hapa JF hiyo hoja yako...nilieleza kuwa tofauti ya upumbavu wa ukristo na uislamu ni kwamba
1)kwenye ukristo tatizo ni wakristo wenyewe siyo injili
2)bali kwenye uislamu tatizo ni uislamu wenyewe...

SASA TURUDI KWENYE HOJA YAKO YA KINA KIBWETELE ..TUMIA HIYO LOGIC KUPATA JIBU
 
😄😄😄🤣 Walipue ile misikiti Yao wanayo iita takatifu ili wakose mapato ya watalii mahujaji

Hicho ndio ninacho kumsubiri Kwa hamu
Hilo hawawezi mkuu, hata Israel pamoja na ugaidi wao wote hawawezi lipua ule
Msikiti wa Al Aqsa pale Jerusalem sababu hawataki kuunganisha waislam wote kupambana nao.

Same to Houthi hawawezi lipua hiyo Misikiti ya Macca au Medina maana itahalalisha waislam wote wa kisunni kuungana na Saudi Arabia pengine kuivamia Yemen yote.
 
Mbona nilisha elezaga hapa JF hiyo hoja yako...nilieleza kuwa tofauti ya upumbavu wa ukristo na uislamu ni kwamba
1)kwenye ukristo tatizo ni wakristo wenyewe siyo injili
2)bali kwenye uislamu tatizo ni uislamu wenyewe...

SASA TURUDI KWENYE HOJA YAKO YA KINA KIBWETELE ..TUMIA HIYO LOGIC KUPATA JIBU

Kwani Mchungaji Joseph kibweteere ambaye kawauwa waumini wa Kikristo 900 katumia nini Quran au Biblia ??

Wale waumini wenyewe kondoo mia900 mikononi walishika Quran au Biblia ??

JE Walikufa kwa jina la kibweteere au la YESU Kikristo kupitia Biblia???

Ivyo ivyo na Mchungaji Paul Makenzie wa kilifi Kenya kawauwa wale kondoo kutumia Quran au Biblia ??

Na wamekufa kwa jina la Makenzie au jina la YESU kupitia Biblia???

Quran wapi imeusika kuwauwa waumini kupitia Shekhe wa msikiti usika mwenye kuwaongoza waumini wake kwenye Dini??

Nipe jibu popote Duniani Quran na Shekhe wa msikiti usika kawauwa waumini wake kupitia Quran ???

Sijawai ona mtu akijibu ili swali pengine ulijibu sikujua twende sasa??✍️
 
Waislam ktk Dunia hawajawai kuwa Mazwazwa popote wapo makini na Dini yao👈

Zaidi ni propaganda za Wakristo tu lkn Ukristo daah sijui nitumie neno lipi nisiwakwaze wengine wenye kujielewa😜😜😜😜
 
Back
Top Bottom