Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Jeshi la Yemen linaloungwa mkono na Iran, Houthis imejibu mapigo baada ya jeshi la Saudia (akishirikiana na jeshi la Yemen linaloungwa mkono na UN) kufanya mashambulizi anga kwenye bandari ya Hodeidah, magharibi mwa Yemen na baadhi ya miji ya kaskazini jana usiku

Houthis imerusha makombora matatu ya balistiki na ndege zisizo na rubani kadhaa ambayo yalipenya ulinzi anga, na kulipua matenki ya mafuta ghafi ya kampuni ya ARAMCO mjini Jazan, kusini mwa Saudi Arabia

Houthis imeongeza kuwa, mlango wa bahari nyekundu unaendelea kufungwa kwa meli zote zinazoenda au kutoka kwenye bandari zilizo magharibi mwa Saudi Arabia

========================================================================

Somo: usianzishe ugomvi wa mawe, kama unaishi nyumba ya vioo

========================================================================

View attachment 3636605
Jeshi la Yemen linaungwa mkono na Saudi Arabia, Waasi Wahouth ndio wanaungwa mkono na Saudi Arabia
 
Wewe ni mjinga kiaziii kabisa.
Houthis ni terrorist group sio jeshi mvaa kobasi wewe
Sasa si wameshakamta mji mkuu automatically imekua serikali. Au hujui hata israel ilikua na vikundi vya kigaidi viliitwa Haganah, irgun na Lehi ila baada ya kukamata maeneo yote muhimu ya Israel ndio wakajitangazia uhuru na kuwa serikali.

Watoto hamjui historia kabisa
 
Tanzania CCM ndio yenye kupendwa usidanganyike kabisa!!!

Siku CCM ikitaka kufanya maandamano mjini apo ndio mtaelewa
Kwanini CCM itatawala milele❗️

Wapinzani ni wachache sana
kina bwashee na wengine kidogo✍️
Halafu chawa kazi ni kubadili tu ID.
 
Ukweli bila Marekani Saudi Arabia lazima nawao watakimbia lile eneo
Sababu Wananchi wote kwanzia Saudi Arabia Bahrain kote uko Wananchi wanatamani kutokee mapinduzi ya kuwaondoa hao watawala ✍️
Wewe hujui kitu, siasa za mashariki ya kati zinaongozwa sana na dini Washia na Wasunni hawapatani na wanachukiana kuliko wanavyochukia Marekani...Kuna vuguvugu la washia kutaka kuondoa utawala wa Saudi, lakini pia Iran kuna vuguvugu la wasunni kutaka kuondoa utawala wa Washia, Syria wassunni wamefanikiwa kuondoa utawala wa Shia chini ya Assad, Iraq, Lebanon, Egypt, Jordan Washia wanapambana kuongoza serikali. Ukiangalia anayefadhili Washia ni Iran na anayefadhili wasunni ni Qatar, Saudia na UAE... Israeli na Marekani wanakuja kuremba keki tu iliyotengenezwa tayari
 
Glorifying ugaidi, mambo yakiaza kuwaendea sivyo mnaaza kulialia haki za binadamu ohoo.
Tutakuwepo
Acha mikwara wewe Houthi wameichukua Yemen tokea 2014 leo mwaka wa 12 ndio waje kulialia??

Magaidi ni hao Israel au hujui ndio wamemfadhili Al sharaa ambaye ni kiongozi wa Al Qaeda kuchukua serikali ya Syria?

Umekua brainwashed sana na western media
 
siasa za mashariki ya kati zinaongozwa sana na dini Washia na Wasunni hawapatani na wanachukiana kuliko wanavyochukia Marekani...
Sio kweli, mbona Hamas ni sunni ila hao Iran wanawapambania kuliko hata wasunni wenzao kina Saudi na Qatar?
Syria wassunni wamefanikiwa kuondoa utawala wa Shia chini ya Assad
Sio kweli, Alawi sio washia ni dhehebu linajitegemea kabisa.
Iraq, Lebanon, Egypt, Jordan Washia wanapambana kuongoza serikali
Sio kweli, Shia wapo guaranteed kuwa Waziri mkuu wa Iraq na Lebanon wanakuwa spika wa bunge na baadhi ya wizara wanapewa. Kwahiyo TAYARI wapo serikalini hawana haja ya kutaka serikali. Katiba zipo very clear juu ya mgawanyo wa uongozi wa nchi kwa dini.
Ukiangalia anayefadhili Washia ni Iran na anayefadhili wasunni ni Qatar, Saudia na UAE... Israeli na Marekani wanakuja kuremba keki tu iliyotengenezwa tayari
Umepotosha pia, hii ya kuwagawa watu kwa misingi ya udini ni kazi ya US-Israel. Mfano Israel-US iliwapa silaha Al Qaeda na ISIS wapigane dhidi ya washia (Iran Hezbollah) na wakati huo huo US-Israel iliwapa silaha wakurdi wapigane na ISIS na walipofanikiwa wakageukwa tena na kuwaachia askari wa Assad wawamalize. Yote hayo ni kuhakikisha Syria au Iraq au popote pale panakuwa na migawanyiko.
 
Mleta mada ni mtupu kabisa kichwani kuhusiana na masuala ya Ulimwengu huu.

Houthi siyo jeshi la Yemen, bali ni kundi la kigaidi la Iran dhidi ya Setikali ya Yemen, katika ule mpango wa Ayatollah wa kuondoa serikali zote za wasuni Duniani. Hilo kundi la kigaidi la Houthi, ndilo lilimwua Rais wa Yemen.
 
Wewe vaa kobazi takataka ,sasa houthis ana nguvu gani Yemen?anatambulika na nanii?
Hilo eneo ambalo anacontrol (northwestern/sana'a) ni international recognizable?

Mkishiba vitumbo vyenu hivyo mnaaza kusifia magaidi wezenu
Kutambuliwa ndio kunapunguza nini? Marekani si ilikua haitambui Taleban na ikaenda kuwang'oa mbona leo hii Taleban bado inatawala na USA inapelekea matrilion kila mwaka.

USA inaitambua Al Qaeda kama magaidi ila ndio wanaongoza serikali ya Syria kwa support ya USA.

Kwahiyo USA kutambua serikali huwa inaangalia maslahi yake hata ukiitwa gaid ila ukakubali kuwa kibaraka wao utasafishwa na utatambulika.
 
Mleta mada ni mtupu kabisa kichwani kuhusiana na masuala ya Ulimwengu huu.

Houthi siyo jeshi la Yemen, bali ni kundi la kigaidi la Iran dhidi ya Setikali ya Yemen, katika ule mpango wa Ayatollah wa kuondoa serikali zote za wasuni Duniani. Hilo kundi la kigaidi la Houthi, ndilo lilimwua Rais wa Yemen.
Hahaha vipi Taleban na Al Qaeda sio magaidi? Mbona wanaongoza serikali ya Afghanistan na Syria kwa support ya USA? Au wakisaidiwa na USA wanakua watakatifu ila wakisaidiwa na Iran wanaitwa magaidi.

Acheni unafiki, Houthi imeanza struggle za uongozi tokea miaka ya 90 kwahiyo wapo kabla hata Iran haijaanza kuwasupport 2013. Hamjui chochote kuhusu historia ya Yemen.
 
Sio kweli, Shia wapo guaranteed kuwa Waziri mkuu wa Iraq na Lebanon wanakuwa spika wa bunge na baadhi ya wizara wanapewa. Kwahiyo TAYARI wapo serikalini hawana haja ya kutaka serikali. Katiba zipo very clear juu ya mgawanyo wa uongozi wa nchi kwa dini.
Point yako ni nini hapa? maana japo kuwa kuna washia kwenye serikali ya kisunni na wasunni kwenye serikali ya kishia haimaanishi serikali ni minority
 
Umepotosha pia, hii ya kuwagawa watu kwa misingi ya udini ni kazi ya US-Israel. Mfano Israel-US iliwapa silaha Al Qaeda na ISIS wapigane dhidi ya washia (Iran Hezbollah) na wakati huo huo US-Israel iliwapa silaha wakurdi wapigane na ISIS na walipofanikiwa wakageukwa tena na kuwaachia askari wa Assad wawamalize. Yote hayo ni kuhakikisha Syria au Iraq au popote pale panakuwa na migawanyiko
Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na wanashirikiana na Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Huwez kutenganisha watu ambao hawana tofauti...ndio maana hadi kesho Israel na Marekani itasapoti wasunni kuliko Washia...
 
Safi sana toa elimu kwa Hilo kobazi extremist
 
Safi sana toa elimu kwa Hilo kobazi extremist
Wewe kilaza kaa kimya, nilishamalizana na wewe uliekimbia umande ukidhani kujivika ulokole na kutembea na bibilia utaonekana msomi,
Namalizana na huyo mbwiga hata hajui kaandika nini nikimuuliza arudie kusoma alichoaandika

Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na wanashirikiana na Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Huwez kutenganisha watu ambao hawana tofauti...ndio maana hadi kesho Israel na Marekani itasapoti wasunni kuliko Washia...
Wewe unatokea mapori ya wapi ?
Ni wasunni gani wanashirikiana na Israel na Marekani ? unajua maana ya kushirikiana au unaongelea falme zilizojitwika umiliki wa hizo nchi kama CCM inavyokupelekesha?
Wewe unajua funders wa Al Qaeda na Taleban miaka yote walikuwa wananchi wa nchi gani ?
Unajua Taleban ni washia au wasunni? na nani kawarudisha pale ?
Al Qaeda wa Syria leo wanashika nchi, unajua kwanini Marekani na Israel wamekubali yaishe ?
Kwamba marekani aliuungana Russia kuzuia al qaeda, hivi unajua kwanini Russia alienda Syria ?
Unajua Bahrain ina washia wangapi kulinganisha wasunni na mpaka leo wanakandamizwa na Saudi?
Twende Yemen, unajua hao washia wa Yemeni wametokea wapi? Ulisha wahi kusikia nchi inaiitwa North Yemen ?
Unajua kwanini Saudi na vibaraka wake walifungia Qatar na bado akatoboa mpaka kuandaa kombe la dunia?
Kama hujui kitu acha kulopolopo kilaza, wewe pambana na siasa za ccm, world geo politics haijadiliwi na ki tecno au oppo
 
Wewe hujui kitu, siasa za mashariki ya kati zinaongozwa sana na dini Washia na Wasunni hawapatani na wanachukiana kuliko wanavyochukia Marekani...Kuna vuguvugu la washia kutaka kuondoa utawala wa Saudi, lakini pia Iran kuna vuguvugu la wasunni kutaka kuondoa utawala wa Washia, Syria wassunni wamefanikiwa kuondoa utawala wa Shia chini ya Assad, Iraq, Lebanon, Egypt, Jordan Washia wanapambana kuongoza serikali. Ukiangalia anayefadhili Washia ni Iran na anayefadhili wasunni ni Qatar, Saudia na UAE... Israeli na Marekani wanakuja kuremba keki tu iliyotengenezwa tayari

Pamoja na kujifanya unajua lkn ujui kitu kuhusu ayo mataifa❗️❗️

Ujui kwamaana mfano wako wenyewe👈

mwenyewe unadai Marekan na Israel wamekuja kuremba keki kosa lako la kwanza lipo apo👈

Marekan Israel na UK. ni sehemu ya wapikaji wa iyo Keki tangu kitambo!!

Ili nijue unajua wajibu wasomaji wa Jamii forum je unajua historia ya Jordan??

Mwisho utaelewa kwann nimesema kuanguka kwa Marekani nisawa na kuanguka Tawala za Saudi Arabia na Bahrain ✍️
Wengine watakimbia kwa kuogopa ni Kuwait UAE ✍️

Ukijua iyo historia usingetumia neno Marekan na Israel wamekuja kuremba keki tu❗️
wamekuta imeshatengenezwa!!!
 
Back
Top Bottom