Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Houthis yalipua matenki mafuta ya ARAMCO, Saudia

Ukweli bila Marekani Saudi Arabia lazima nawao watakimbia lile eneo
Sababu Wananchi wote kwanzia Saudi Arabia Bahrain kote uko Wananchi wanatamani kutokee mapinduzi ya kuwaondoa hao watawala ✍️
......... kama ilivyo Tanganyika.
 
......... kama ilivyo Tanganyika.

Tanzania CCM ndio yenye kupendwa usidanganyike kabisa!!!

Siku CCM ikitaka kufanya maandamano mjini apo ndio mtaelewa
Kwanini CCM itatawala milele❗️

Wapinzani ni wachache sana
kina bwashee na wengine kidogo✍️
 
TRUMP lazima ajue Dunia kwasasa imechamgamka sana❗️

na watu jamii za Waislam wameuwawa Iraq Libya Syria Afghanistan👈

kutoka Afghanistan baada kushindwa na Waislam wa uko sasa zamu ya kulikimbia eneo la Gulf States 👈

kwamaana yule ng'ombe wao mwenye kunona kiangazi na masika kwasasa maziwa yanamwangwa kwenye MOTO mbele ya
macho yao👈
Afu yule mjinga Echolima1 anakuambia eti USA atanshinda Iran hahaha hebu tazama US defense secretary anaomba pesa hawa ndio wakamshinde vita Iran anambiwa wamarekani wanakufa njaa nyie mnataka tuwape pesa kwa ajili ya vita na Iran


View: https://youtu.be/QjLZAsbzQdE?si=SQyYNBzpaVkfRqdP
 
Wewe unataka kunifundisha Mimi kuhusu middle east
Houthis ni magaidi kama wengine tu ambayo yamekua mwiba kwa ustawi wa raia wa Yemen
Wewe mtindiga wa buza ndio unajifanya unajua siasa za middle east
Haya kama ni magaidi, wanashikilia ukubwa gani wa nchi ya Yemen ?
Na kwanini mpaka leo wameshindwa kuwatoa?
Raia gani wa Yemen unaowaongelea? kwanza hata unajua makabila ya Yemen mpaka Saudi kuingilia unajua kwanini ?
 
Wewe ni mjinga kiaziii kabisa.
Houthis ni terrorist group sio jeshi mvaa kobasi wewe
Ndio mnavyolishwaga matango pori na nyie mnakula. Hata Hamas walikuwa wakiitwa magaidi. Uchaguzi ulipofanyika hamasi wakashinda kwa kishindo alichoshinda mama yako wa kizimkazi.
Houthi kwa sasa ni sawa na Taliban, wanaiongoza Afganstan, Kama ilivyo kwa Hamas wanaiongoza Gaza. Houthi nao wanaiongoza Yemen kwa sasa.
 
Wewe mtindiga wa buza ndio unajifanya unajua siasa za middle east
Haya kama ni magaidi, wanashikilia ukubwa gani wa nchi ya Yemen ?
Na kwanini mpaka leo wameshindwa kuwatoa?
Raia gani wa Yemen unaowaongelea? kwanza hata unajua makabila ya Yemen mpaka Saudi kuingilia unajua kwanini ?
Wewe vaa kobazi takataka ,sasa houthis ana nguvu gani Yemen?anatambulika na nanii?
Hilo eneo ambalo anacontrol (northwestern/sana'a) ni international recognizable?

Mkishiba vitumbo vyenu hivyo mnaaza kusifia magaidi wezenu
 
Ndio mnavyolishwaga matango pori na nyie mnakula. Hata Hamas walikuwa wakiitwa magaidi. Uchaguzi ulipofanyika hamasi wakashinda kwa kishindo alichoshinda mama yako wa kizimkazi.
Houthi kwa sasa ni sawa na Taliban, wanaiongoza Afganstan, Kama ilivyo kwa Hamas wanaiongoza Gaza. Houthi nao wanaiongoza Yemen kwa sasa.
Sasa kukubalika na wajinga kama wewe kunawafanya vipi wasiwe magaidi?
Hata Hezbollah lina wawakilishi bungeni Lebanon lakini ni terrorist group.
 
Wewe vaa kobazi takataka ,sasa houthis ana nguvu gani Yemen?anatambulika na nanii?
Hilo eneo ambalo anacontrol (northwestern/sana'a) ni international recognizable?

Mkishiba vitumbo vyenu hivyo mnaaza kusifia magaidi wezenu
Mlokole mavi huna unachojua zaidi ya upupu uliofundishwa na mchungaji wako
Unajua historia ya Yemen, au ulizaliwa juzi leo una kitecno cha kuingia mtandaoni unajifanya na wewe ni mcha- mbuzi?
Nenda kasome historia ya Yemen halafu urudi hapa ueleze umejifunza nini kuhusu North na South Yemen kama nchi kamili zilizoamua kuungana, na nani sasa ameamua huo upumbavu wa muungano uishe na ndio North Yemen

1785000315159.png
 
Back
Top Bottom