dronedrake
JF-Expert Member
- Dec 25, 2013
- 24,847
- 61,886
Mjinga yule puppet wa USA kuanzisha vita na YemenWaarabu ni wajinga sana.
πππ Siumesikia hao wa houth wana missile ππMwanzoni nilipokuwa nasikia wanamgambo wa Hamas, nilidhani wao pia wanatembea na virungu kama wa huku, kumbe wapo full equipped.
Wewe ni mjinga kiaziii kabisa.Jeshi la Yemen
Glorifying ugaidi,mambo yakiaza kuwaendea sivyo mnaaza kulialia haki za binadamu ohoo.πππ Siumesikia hao wa houth wana missile ππ
Yaani wanaweza kuitetemesha serikali na hakuna kitu watafanya
Umechanganyikiwa hao wanajuana wewe unawajua saudia kuliko wanavyo wajua Wayemen !?Glorifying ugaidi,mambo yakiaza kuwaendea sivyo mnaaza kulialia haki za binadamu ohoo.
Tutakuwepo
Unafahamu chochote kuhusu middle East?Wewe ni mjinga kiaziii kabisa.
Houthis ni terrorist group sio jeshi mvaa kobasi wewe
Nani kakudanganya? Leta takwimu hapa.Ukweli bila Marekani Saudi Arabia lazima nawao watakimbia lile eneo
Sababu Wananchi wote kwanzia Saudi Arabia Bahrain kote uko Wananchi wanatamani kutokee mapinduzi ya kuwaondoa hao watawala βοΈ