KALINZI NYUMBANI
JF-Expert Member
- Jan 7, 2015
- 2,083
- 2,183
Naomba unijibu kidogo hapa chiniHayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na wanashirikiana na Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Huwez kutenganisha watu ambao hawana tofauti...ndio maana hadi kesho Israel na Marekani itasapoti wasunni kuliko Washia...
Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha, halaf saudia arabia hawana jeshi labda wapate msaada kutoka mataifa mengineMwanzoni nilipokuwa nasikia wanamgambo wa Hamas, nilidhani wao pia wanatembea na virungu kama wa huku, kumbe wapo full equipped.
Wahouthi ni nchi kamili ilikuwa inaiitwa North Yemen, walifanyiwa ulaghai na nchi za kiarabu wakakubali kujiunga na South Yemen, ndio ikawa nchi moja ya Republic of YemenHouthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha,
Hapana, si kweli kabisa 😅Houthis ni jeshi kamili hakuna kenge anayeweza kuwasambaratisha, halaf saudia arabia hawana jeshi labda wapate msaada kutoka mataifa mengine
Saudi Arabia = Ina jeshi kubwa + Ina pesa nyingi + Inategemea washirika 😄😄😄🤣 Walipue ile misikiti Yao wanayo iita takatifu ili wakose mapato ya watalii mahujajiSafi mkiwa sawa kapige Riyadh mi napenda mtu akiingia vitani apige kweli au apigwe.Sitaki mambo ya kusitisha vita.Mtu apigwe au apige.Wanamgambo wa Yemen kazi kwenu
Mkuu MAKEBO kwa heshima na taadhima,na kwa niaba ya wapenda elimu humu jukwaani nakumba sana utupe wewe majibu ya maswali haya uliyomuuliza huyo uliemjibu.Wewe kilaza kaa kimya, nilishamalizana na wewe uliekimbia umande ukidhani kujivika ulokole na kutembea na bibilia utaonekana msomi,
Namalizana na huyo mbwiga hata hajui kaandika nini nikimuuliza arudie kusoma alichoaandika
Wewe unatokea mapori ya wapi ?
Ni wasunni gani wanashirikiana na Israel na Marekani ? unajua maana ya kushirikiana au unaongelea falme zilizojitwika umiliki wa hizo nchi kama CCM inavyokupelekesha?
Wewe unajua funders wa Al Qaeda na Taleban miaka yote walikuwa wananchi wa nchi gani ?
Unajua Taleban ni washia au wasunni? na nani kawarudisha pale ?
Al Qaeda wa Syria leo wanashika nchi, unajua kwanini Marekani na Israel wamekubali yaishe ?
Kwamba marekani aliuungana Russia kuzuia al qaeda, hivi unajua kwanini Russia alienda Syria ?
Unajua Bahrain ina washia wangapi kulinganisha wasunni na mpaka leo wanakandamizwa na Saudi?
Twende Yemen, unajua hao washia wa Yemeni wametokea wapi? Ulisha wahi kusikia nchi inaiitwa North Yemen ?
Unajua kwanini Saudi na vibaraka wake walifungia Qatar na bado akatoboa mpaka kuandaa kombe la dunia?
Kama hujui kitu acha kulopolopo kilaza, wewe pambana na siasa za ccm, world geo politics haijadiliwi na ki tecno au oppo
Marekani...Unapopotosha kwamba ISIS imesaidiwa na Marekani wakati Marekani ndio iliyounda nchi za kukabiliana na ISIS kama Russia, Saudi Arabia, Uturuki, Syria, Iran(ambayo ilikua chini ya Assad,ila walishirikiana).
Hahaha wote hamna mnalojua, rais wa sasa wa Syria Al Jolani ambao Trump amekiri kumsaidia kumpatia silaha hadi kuwa Rais alitumika kuasisi ISIS huko Syria. Na leo hii ndio Rais wa Syria kwa msaada wa USA kwahiyo huwezi tenganisha US na kufadhili magaidi wa Al Qaeda na Islamic State.Safi sana toa elimu kwa Hilo kobazi extremist
We jamaa ni mweupe sana, kwamba Sunni hawana misimamo mikali hivi unajua Taleban, Islamic brotherhood, Kurds (PKK), Al shabab, Boko Haram, Al Qaeda, ISIS wote ni Sunni Muslims? Je hao sio misimamo mikali? Alafu unasema ndio facts hizo? Nitajie kundi gani la kishia linatisha kuliko hayo niliyotaja?Hayo ni mawazo na hisia binafsi. Fact ni kwamba Saudi Arabia na UAE ilisaidia serikali ya kisunni Yemen isiondolewe na Wahouth wakishia na Iran ilisaidia Wahouth kuchukua majimbo Yemen. Wasunni hawana misimamo mikali kama Washia na wengi wanaitambua Israel na
Point yangu ni kwamba katiba zimeshatenganisha madaraka kwa shia, sunni, kurds, Christians n.k kwahiyo unapotosha kudai Washia wanataka madaraka Iraq, Lebanon n.k. mfano shia hawezi kuwa Rais wa Iraq au Lebanon nafasi yao ni waziri mkuu na spika mtawalia sasa wanataka kupindua nini si bora ungesema labda wanataka mabadiliko ya katiba.Point yako ni nini hapa? maana japo kuwa kuna washia kwenye serikali ya kisunni na wasunni kwenye serikali ya kishia haimaanishi serikali ni minority
Kwahiyo Hebzollah inaposaidia Hamas ni hawajui ni sunni? Houthi wanavyosaidia makombora kwa Hamas hawajui kuwa nao ni Sunni? Mnapenda kuleta udini kwenye hamna, Iran inawasaidia mpaka Russia kupambana na Ukraine kwani ni waislam wale? Iran inawasaidia serikalinya Sudan kupambana na magaidi wa RSF kwani ni washia wale?Alawi ni Branch ya kishia, ndio maana walikua na sapoti ya Hezbollah na Iran Syria acha kudanganya watu
Ila wakifanya hivyo kwa Houthi na Hezbollah basi inageuka kuwa sababu ni Washia?Hamas kwa Iran ni kitu wanasema adui wa adui yako ni rafiki yako...Ila mlezi wa Hamas ni Qatar
Uislamu + uarabu =uanithi wa akili
Mi nlikua nadhani ni migambo kama walinzi wa shuleni enzi za primary #BBC swahili..Mwanzoni nilipokuwa nasikia wanamgambo wa Hamas, nilidhani wao pia wanatembea na virungu kama wa huku, kumbe wapo full equipped.
Mbona nilisha elezaga hapa JF hiyo hoja yako...nilieleza kuwa tofauti ya upumbavu wa ukristo na uislamu ni kwambaKwaiyo na wale waliouwawa kwa jina la YESU na Biblia yake tuwachukuliaje
Uganda Mchungaji Joseph kibweteere kawauwa kikondoo kanisani mia900 uku wakiimba Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa Ameeeennn YESU YESU YESU Aleluyaaaaa wakafa kikondoo je wale tuwaitqje???
Kenya Paul Makenzie kawauwa kikondoo mia 700 kwanjaaa ili waende kwa Aleluyaaaaa YESU Aleluyaaaaa Ameeeennn Aleluyaaaaa 😜😜 Je awa tuwaitqje kwenye Dunia ya leo?????
Wale Wasabato masalia waliotaka kwenda Mataifa ya mbali kwa ndege na wakafika Airport ya Dar es Sallam cha kushangaza❗️
lkn mkoloni wana Biblia tu na mifuko ya Kande😜😜 nawao tuwaiteje✍️✍️
Endeleeni tu kujitekenya na kucheka wenyewe!!!Kuna wako sio warabu waliwekwa tu kwenye viti na wamevishwa kanzu na vilemba wanatumikia agenda za USA na Wayahudi
Hilo hawawezi mkuu, hata Israel pamoja na ugaidi wao wote hawawezi lipua ule😄😄😄🤣 Walipue ile misikiti Yao wanayo iita takatifu ili wakose mapato ya watalii mahujaji
Hicho ndio ninacho kumsubiri Kwa hamu
Mbona nilisha elezaga hapa JF hiyo hoja yako...nilieleza kuwa tofauti ya upumbavu wa ukristo na uislamu ni kwamba
1)kwenye ukristo tatizo ni wakristo wenyewe siyo injili
2)bali kwenye uislamu tatizo ni uislamu wenyewe...
SASA TURUDI KWENYE HOJA YAKO YA KINA KIBWETELE ..TUMIA HIYO LOGIC KUPATA JIBU