How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Nimwembia akaikoshe vizuri zaidi ya sana

Leo sijui popo Kanyea heaven,Dog kasusa kwenda atajua mwenye

Leo ni Ukuni Day kabla ya muungano wenu

Flip flap Gogjog mbfwamfwa mpaka kucheee😎
 
Hii week ndio imefanya niamini kuwa am married to work😫
Pambana mama
Namalizia stress zangu humu 🌚
Michambo na mivurugano ya JF, hakupoi 😂
Mi naitaka hiyo umetaja hapo kesho nipambane nayo..
Nzuri, icheki
Zipo nyingi, ila nimejifunza people are not oxygen!
Kabisa, hili ni somo langu pia kwa wiki hii.
Nimpate wa hivi nimpige kipepsi cha pua, teke la nyuma hatorudia😊

Umuachie mapengo akasimulie watu wa kwao 😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…