How are you feeling? Unajisikiaje? 😐 - karibu tuzogoe!

Inahusu nini hyo 180 maana nimeiona na Binti wa zamani kaitaja
Umeangalia Fatal seduction? Yule Jacob amechangia niiangalie 180 sbb ndo main character. 180 iko 50/50 reviews, wapo wanaoipa 2/10. Wapo waliosema its not worthy watching… ila me nimeielewa

baba na mtoto walipata ajali, mtoto akaumia sanaa.. na waligongwa na majambazi😁 si unajua South Africa inavyosemakana iko. Baba hapati haki inayomridhisha akaamua kubeba jukumu la kulipa kisasi
 
unachapa kazi au unachapwa? Tufafanulie,kazi yako nini?
 
🍻✌️🍺πŸ”₯
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…