How did you feel the last time you saw your Ex?

Dahh mkuu nimesoma hii reply uku natabasamu, unajua Sana kuandika kwa vile uzi wa Kula tunda kimasihara umefutwa, kwanini usiandike kitabu kabsa kuhusiana na tunda kimasihara😂
Ha ha mkuu hizo mbwembwe tu hamna kitu Kama hicho..
 
Kumpa nafasi tena yakuzungumza, inaonekana mtu poa sana
 
Tulikaa tukaongea nikamwambia twende lunch tukaenda tukala vizuri wakati tunakula akaniomba nimsamehe yeye bado ananipenda sana na bado anataka kuolewa nami. Mie sikusema lolote kwani sikutaka kuzungumzia yaliyopita. Baada ya msosi tukaagana huwa sipendi apande dala dala nikampa pesa ya kuchukua taxi.

Mtoto wa Tanga huyu Mbondei bomba sana kapanda juu tako tako kweli mguu umeshiba na kifuani pia kajaliwa. Nilimpenda sana huyu binti hadi friends walikuwa wananitania kanipa LIMBWATA 😜😜 nilijua atakuwa mke wangu lakini ndiyo hivyo tena.
 
Mkuu dahh bichwa langu limekua ngumu mnoo kuamini ni kweli ulimwacha hivi hivi😅😅😅 maana kwenye uzi wa Kula tunda kimasihara Ka nshakuta wanakuzungumzia
 
Reactions: BAK
Mkuu kwanini uteseke... Mtoto ameshaonesha nia ya kurudi kwenye Jimbo lake, eb mpokee
 
Nilijiskia kawaida tu, ana maisha yake nami na yangu...ni maisha yalishapita ni salamu tu na utani kidogo bas, cjui yeye anajiskiaje.
Lazima maisha yaendelee, big up mkuu. I hop anataman urud😅
 
Kuna baadhi ni Kama takataka inapokuwa jalalani vile hujihangaishi kuitizama wala kuifatilia

natupaga jongoo na mti wake
Dahh takataka tena, kakuimarisha mkuu😁😁
 
Ikawaje sasa hebu simulia vizuri [emoji12][emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…