How long to wait?...

hahaaaa Bala anauliza je na Fidel atakuwepo huko????

aah B kilimo kwanza mna matrekta au ndo jembe la mkono??

yaani B, unauliza mbege uchagani? theme ya Kilimo Kwanza ni matrekta, tena sasa ya leo ni brand new, kilimo cha 'mkono' ni when it is absolutely necessary, sawa B!

haya kajiandae..Fidel anakuja pia mwabie kabisa B, ila naye anakuja na trekta lake anamalizia usajili tu mwambia B asiwe na wasi wasi

Ila geoff hawezi kuja, bado suti yake ina upanga..
 
hhaaaa kwenye red hata mie nimeshtukia kakaake
afu kwenye blue inawezekana maana ni asili yao hao kina Masaki na Oysterbay
HEHEHE!ashindwe na alegee huyo masakiπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Worry not bibie nina backup ya M7....na kwa kukuhakikishia ntakua on safe side expect ma call ukiwa billionares club na wapwa!

kwa kuwa umenihakikishia usalama wako sawa

heeeee jindae kuongea na woooooooooooooooote uweke wese la kutosha kabsaaa maana wapo wengi!!!
 
Billionares club

afu B kalamu yako imeisha wino weweeee

Laaziz wangu mbona kashajiandaa kwa ajili ya safari ya Mkuranga, hana wasiwasi!
In fact, by the way, nevertheless, meanwhile, however...tunapenda kuwataarifu kwamba, pamoja na mambo mengine, tunakwenda kukumbushia ''honeymoon'' yetu!

dah kiinglish chako ni cha wapi tena??? univasiti kama sikosei
 
masaki ni msanii!najua UNATUMIA KIZIZIπŸ˜€

Hapana situmii kizizi, natumia trekta la Kubota kwenye kilimo kwanza!

Ila ukisisitiza basi itabidi bht anisaidie hapa, na utalazimika kutoa uthibitisho usiotia shaka (to prove beyond reasonable dought)!!
 

B hana wasi kabisa na huyo bwana mdogo wake, alitaka tu kuhakikisha hii get tugeza kila mtu awepo!!!

nimekusoma kwenye matrekta ila kwa Goeff ngoja nirudie kusoma tena
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€meli inaelea shilingi inazama

ubaya lile soko limeungua, wapi nitapata supu ya pweza na leo ijumaa tunaenda zetu gest huko mkuranga...damn....πŸ˜€

tobaaaaaa,DNT TRY ZIZ AT JF

Nijaribie wapi Pearl,,kindly provide an alternativeπŸ˜€

Bby come ova to 9t,do u no ze song?

halafu wewe una majaribu kweli kwel!atakuja kweli huyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€

mwambie hommie wako TO LEAVE MY PEARL ALONE!pleaseπŸ˜€

Hommie, hivi unaweza kufukuza upepo?
 
jamani nimemtukana nani?AM SORE,by the way vyumba vimebaki 2 so itabidi tucheze sandakalawe

Sio kutukana matusi, nimemaanisha umetukataa....ingekuwa kwa maongezi ya kawaida ingeeleweka zaidi, ila kwa haya ya kwenye keyboard ina-sound vingine kabisa!
 
Hapana situmii kizizi, natumia trekta la Kubota kwenye kilimo kwanza!

Ila ukisisitiza basi itabidi bht anisaidie hapa, na utalazimika kutoa uthibitisho usiotia shaka (to prove beyond reasonable dought)!!
hahaaaa no wonder unamaliza hekari nyingi kw amuda mfupi........

ntakufanzia kwa kulipa fee kiduchu tu uni-retain kama mwakilishi (nalinda maadili ya profesheni tu)
 
kwa kuwa umenihakikishia usalama wako sawa

heeeee jindae kuongea na woooooooooooooooote uweke wese la kutosha kabsaaa maana wapo wengi!!!
hapo kwa Red nimekusoma.....hakuna shaka kabsaa hujui kwamba huku northen part wese tunalichimba wenyewe....hakuna kuagiza kutoka sijui dubai au wapi!!
 
Sio kutukana matusi, nimemaanisha umetukataa....ingekuwa kwa maongezi ya kawaida ingeeleweka zaidi, ila kwa haya ya kwenye keyboard ina-sound vingine kabisa!

umetumia tungo tata.....inaruhusiwa kwenye fasihi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…